Mahujaji 31 wa Shiite wafariki na 100 kujeruhiwa kutokana na mkanyagano msikitini

Hivi huyu Imamu Hussein alikuwa na wadhifa gani? Aliuawa na kina nani? Na kwanini?
Dah Kisa ni kirefu sana
ila Kama upo Dar es salaam siku ya jumamosi baada ya sala ya maghrib kisa hicho kitasimuliwa katika mskiti wa madina mtaa wa tandamti usikose
 
HAO NI WAZUSHI TU MKUU, WAMEKUFA KWENYE UZUSHI WAO HUKO KARBALAA

HAKUNA MAFUNDISHO YA ASILI KTK UISLAM YANAYOWALAZIMISHA WAUMINI KWENDA KARBALAA NI UZUSHI MTUPU !! QUH!!
Ulivyokua akkli huna! Nani alikwambia kua kiimani kuna sheria inayowalazimisha kwenda mahali hapo (Karbala)? Kama huna uelewa wa mambo uliza wanaoju tukufahamishe. Katika maadhimisho ya mwaka huu, karbala kulikua na watu zaidi ya million 14, na hakuna rekodi ya watu kukanyagana wawapo Karbala kama imetokea ni jambo la bahati mbaya.
 
Another foolishly noise maker. Nyinyi ndo mnaoleta divisions katika uislamu kwa mambo msiokuwa na elimu nayo.
 
Kwani hao Washia wanaohiji huko Karbala sio waislamu? Mbona hata huko Makka na Madina pia wanaenda?
Very good question na wakikujibu nitag plz. Hajj ni moja na hufanywa sehemu moja tu ambayo ni makka tu. Hao Shia huenda huko karbala sio kwa nia ya kwenda hijja bali ni ziyarat ya Imam Hussein.
 
Mambo ya imani ni magumu na yana changamoto kubwa sana, na ili uwe muumini mzuri hutakiwi kuuliza uliza maswali kwa kua hata unae muuliza nae hana jibu
Inabidi uupofushe ubongo wako ndiyo utakwenda sawa na watu wa 'imani'.
 
kafara za majini za shetan wao wa kibra wanaemswalia
 
Wanaenda Makka na Madinna kwa ajili ya kwenda kutemea makohozi na matapishi makaburi ya Maswahaba watukufu. Hija yao ni Karbalah.
Very good question na wakikujibu nitag plz. Hajj ni moja na hufanywa sehemu moja tu ambayo ni makka tu. Hao Shia huenda huko karbala sio kwa nia ya kwenda hijja bali ni ziyarat ya Imam Hussein.
 
Usitake kuwatetea shia ww.
Shia ni makafiri nyuma ya pazia utake usitake.
Ndio maana wameleta taratibu zao za ibada zilizo kinzani na zile sahihi alizofundisha mtume.
Shia sio wenzetu kataa kubali shia sio wenzetu ni makafiri tu nyum ya pazia.
 
Mkuu kuna uislam na muislam.
Uislam ni dini ambayo ina taratibu zake zinazotakiwa kufuatwa kwa misingi ya Qur'an na sunnah za Muhammad(s.a.w).
Ktk hii misingi ili uwe muislam bora watakiwa uifuate itakikanavyo,ikitokea umekengeuka isiwe kwa makusudi eidha iwe kwa kughafilika ama ujahili ama makosa tu ya kibinadam.
Ila usikengeuke kimakusudi kwa kujenga matashi na kutaka kufata utashi wa nafsi.
Ukifanya hvyo basi ushakufuru ww hatuwez kukuhesabia kuwa muislam maana uislam hauendeshwi kwa matashi ya nafsi ya mtu.

Mashia hawa watu ni watu ambao wanafata dini kwa matashi ya nafsi zao.
Kiasi wameleta mpk taratibu zao za kiibada na kuziingizia ktk uislam ilhali uislam haujasema hvyo.
1)Wameanzisha ibada ya kujipiga na kujichanja na mapanga kisa Hussein ilhali Allah na mtume wake hawakuweka qatwiyyu dillala ya hzo ibada kuwa zifatwe.
2)Uislam una shahada mbili wao wameeka shahada tatu.
3)Kuzuru miji mitukufu,kufanya hijjah na umrah ni makkah na madinah tuh na misikiti mitukufu ni Masjid haram(makkah),masjid Quba(madinnah) na masjid al aqsa(Palestine ) ila wao wanaenda kutukuza maimam huko karbala.
4)Baadhi ya aya za Qur'an wanatafsiri sivyo ili kukidhi matakwa yao mathalan Ile ayah isemayo "hakika wake zenu ni mashamba yenu waingilieni mtakavyo" wao wametafsiri kuwa Allah karuhusu kufirana ilhali hiyo ayah imekusudiwa kuwa wake zetu ni mashamba yetu tuwazalishe tutakavyo ndio maana Allah kataja shamba ukisema kuhusu kufirana inamaana wake zetu hawatozaa ni sawa na kupanda mbegu fake ktk shamba.

Hiyo kuhiji makkah haijalishi ila tizama kuwa hawa ni waislam wanaofanya vtu kwa utashi wa nafsi zao ktk dini je Allah atawaridhia hawa ilhali wamemzushia uongo hadi Allah ???!!!!
Jibu laah ndio maana nawatamka kuwa sio waislam sahihi.
Waislam jina tu.
Kwani hao Washia wanaohiji huko Karbala sio waislamu? Mbona hata huko Makka na Madina pia wanaenda?
 
Sio kwamba sio waislamu tu bali ni makafiri kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…