Mahusiano ah.............

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Posts
10,470
Reaction score
6,580
natumaini wote wazima

Jamani huu umbeya wa kina Geah una mambo. Eti kuna mwanamke analalamika kuchukuliwa mumewe na mwanamke mwingine ambaye amemteka kupitiliza hadi anasahau familia yake huku akimpa kashfa kibao mkewe.............. Nashangaa hivi hata kama ndo mnatuibia, hamweziiba kisiri jamani bila kutushika mikono??

Si bure ndo mana kina mama nao siku hizi wanaapply Mama Big's principle kuwa .......yeye anadumishia hapa, wapo wanaodumishia kuleee.............

Hivi kina mama nasi huwa tunatekwaga kihivi? au wenzetu mko more delicate inside kuliko sie??
 
Si unajua ule msemo wa juzi mwenzako akila huku wewe kula kule
 
Aaaaaaaah hiyo ni gia ya wanaume kumega kwa raha zake kama anamponda mke wake kwa nini akimaliza shuhuri iliyo mleta anakumbuka kuna kurudi tena nyumbani kwa nyumba kubwa kwa nn asikae hapo hapo?
 
Aaaaaaaah hiyo ni gia ya wanaume kumega kwa raha zake kama anamponda mke wake kwa nini akimaliza shuhuri iliyo mleta anakumbuka kuna kurudi tena nyumbani kwa nyumba kubwa kwa nn asikae hapo hapo?

ehh! eti nyie wanaume kwann msihamie huko huko kikaeleweka umemchoka mkeo?
 
Aaaaaaaah hiyo ni gia ya wanaume kumega kwa raha zake kama anamponda mke wake kwa nini akimaliza shuhuri iliyo mleta anakumbuka kuna kurudi tena nyumbani kwa nyumba kubwa kwa nn asikae hapo hapo?
Hapo chacha maana huyu kamwambia mkewe baada ya kumfuma kwa bi mdogo anamwuliza "kimekuleta nini huku kwani nyumbani huna chakula?"

Ammah we umenioa mie nije kula chakula? kwani kwetu nlikuwa sili hadi nkakubali unioe?? ah mnatutenza jamani. Ila nasikia kuna wanawake pia ambao wananogewaga na nyumba ndogo zao kiasi cha kuwasahau na kuwadharau waume zao
 
mie mwanamke mwenzangu acjeshawishika kunifanyia hiko kitendo, dharau kubwa sana, nitaanza nae then nitamalizana na mhucka, kama anakula ale kwa abadu zake za kumtosha.
 
Ati usije kuta naye kanusishwa
 
Si unajua ule msemo wa juzi mwenzako akila huku wewe kula kule
Tatizo wengine (kama huyu alozungumziwa hapa) ana miaka sita na bi mdogo kamnunulia hadi gari na kuitelekeza familia yake kimatumizi anaondoka asubuhi anarudi alfajiri. Sasa sijui imetokana na uvivu wa mwanajamiione hapa? Maana naona ka vile Mama Big kiboko yao ndo kamkamata lol......kaambiwa Vuvuzela laumiza ngoma za masikio so Mama Big anaziba taratib....ndo kanogewa
 
ndoa hizi zimekuwa ndoa ki kweli...hivi jamani nashindwa hata la kusema, huyu mwaname ana utu kweli?mbona tunatafutiana dhambi za milele?
 
mie mwanamke mwenzangu acjeshawishika kunifanyia hiko kitendo, dharau kubwa sana, nitaanza nae then nitamalizana na mhucka, kama anakula ale kwa abadu zake za kumtosha.

Mbona ulipotea au na wewe ulikuwa katika harakati za kulinda kura kama mimi
 
soma signature yangu MLA HULIWA! MJI hayo yote maneno ya kupata vitamu binadamu tuna mambo we acha ukitaka kupata kitu utasema chochote ilimradi ufaidi anamponda ili aonekane ana mapenzi makubwa huko kwa bi mdogo hamna lolote wakati akifika kwa bi mkubwa na magoti anapiga haya mambo huwa yana muda wakishazoeana anaaanza kumuona kama bi mkubwa si unajua mambo ya kipya kinyemi kwenye maisha haya mtu akishajua mpaka ushu.....zi wako unanukaje anaanza kukudharau na kusahau mazuri yako
 
mambo mengine sio ya kucheka lakini inabidi tu, mie cku hizi namhurumia kweli mtu naeshadadia kuingia kwenye ndoa, lakini wacha waingie wajionee wenyewe.
 
mie mwanamke mwenzangu acjeshawishika kunifanyia hiko kitendo, dharau kubwa sana, nitaanza nae then nitamalizana na mhucka, kama anakula ale kwa abadu zake za kumtosha.
hapo sasa yaani ni ngumu kuelewa sijui ndo mambo ya Matters of the hearts!! yaani nyamayao shemeji anakula na Da Sophy afu ukimwuliza Prezidaa mbona siku hizi mambo sivyo aanze tu kukujibu mbofu mbofu na kukuuliza kwani una shida gani? huli chakula? watoto hawendi ****** ?? aah
 
Mbona ulipotea au na wewe ulikuwa katika harakati za kulinda kura kama mimi

Finest wacha tu, nilikuwa nikiingia humu nakutana na vurumai za uchaguzi zinaniongezea tu stress wakati mie nina zangu za kunitosha.
 
Hahahaha hakuna lolote si kunukishwa wala kulambishwa....kajichetua mwenyewe tu.

Hapa Nyamayao na MJ1....mi nasoma kati ya mistari na chini ya mistari.....
BTW: Hapo pekundu nimetoka hola..!
 
Kuna sehemu lazima something is wrong
 
mhh kwa kweli hapana, tunauwana taratibu aise, mara unashangaa unapata pressure, mara cjui kisukari mara cjui kitu gani kwa kumfikiria mwanaume wa hivi, MJ1 wacha tu, maisha haya bac tu, mtu kama ameamua kufanya bac na afanye lakini akupe heshima yako jamani, kwanini maisha yapo hivi? sasa huyo mwanamama kaamua vipi? kwamba atakomaa na ndoa au kaamuaje?.....mambo mengine ni kuharibu kabisa kila mtu ashike ustaarabu wake.
 
mie mwanamke mwenzangu acjeshawishika kunifanyia hiko kitendo, dharau kubwa sana, nitaanza nae then nitamalizana na mhucka, kama anakula ale kwa abadu zake za kumtosha.

Nyamayao bana:

Utaanza nae kivipi?

Unajua wanaume wengi wanapokuwa na "small house(s)" huwa wanajaribu kila "ufundi" unaowezekana! Hata kuwakandya wakazao, e.t.c ili mradi tu "small house" naye in return aonyeshe "maufundi" yake yote.

"Small house" zilizostaharabika haiwezi kamwe kutaka "kuharibu ndoa" ya mwenye nayo - Kwa sababu as soon as mambo yanaharibika nyumbani then kwa staili ile ile "small house" inapigwa chini!
 
Sijui nichangie? sijui umri wangu hauniruhusu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…