Mahusiano ah.............

Umemaliza shemeji. Nimesalute.

Hivi hebu siku moja jaribuni kukaa chini mpige hayo mahesabu pamoja na loss itakayopatikana iwapo mama ataamua kuacha kazi ya kuajiriwa awe mama wa nyumbani!
 
Nyie wanawake wapenzi....Kama hutaki kukumbana na purukushani za nyumba ndogo, basi amua usiolewe.

Otherwise lazima utaibiwa tu....Mwanaume haridhiki na mwanamke mmoja. Kila siku huwa nawaambieni. Na bibi yenu analijua hili ndio maana huwa ananisihi ni play safe sex huko niendako..Siyo niache!!!!
 
Umemaliza shemeji. Nimesalute.

Hivi hebu siku moja jaribuni kukaa chini mpige hayo mahesabu pamoja na loss itakayopatikana iwapo mama ataamua kuacha kazi ya kuajiriwa awe mama wa nyumbani!

Tulishafanya! Tulikubali Kutokubaliana na anaendelea na kuajiriwa tena Serikali

"Kuajiriwa" by itself it is already a "social epidemic"! Ambayo on the background it is "killing" the families softly!

It is an open secret kama wote (Bw/Bi) wameajiriwa there is a very high probabilty kwamba hamtaweza tena kutoshelezana kimwili especially kama mpo kwenye middle/upper class. You are always on the RUN! You are always BUSY ! Mna Laptops na Smartphones full of "REMINDERS" and Diary kubwa tu! Mna parsue MBAs na Phd e.t.c Mna meetings Mna semina "out-of-the-town" almost mara mbili kwa wiki and OBLADI OBLADA Life goes on!:doh:
 
Pole mwanajamiione. Ngabu always here for a brotherly shoulder to lean on
 
The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:

Baba Gift (Today)​
 
Babu tabu si kushare ..........katika maisha halisi rule namba tatu sie hatuikatai but fanya kwa adabu.......... mie kwako ni kipofu nimekupenda nikaamua kuutangazia uma kwa sherehe kabisa kuwa nimekubali kukumilikisha kichululu changu na wewe ukankabidhi chako sasa wewe wendakitumia kwa mwingine huku ukipiga makelele?? usinzibue masikio babu wala kunifungua macho acha tu niendelee kuwa ndotoni kuwa ni changu, na changu peke yangu.
 
Kwahiyo bibie unahalalisha "small house" RASMI!

hapo penye red/underlined pamenifanya nipaliwe na kipande cha burger!
iweje amehalalisha atafute smal smal haus
if u thk so basi utakuwa unamchukulia mkeo km mtumwa...sasa ashike nin aache nin?
auwez kumsaidia kaz mkeo yan we ujikalize tu uweke izo ndude mbele usubiri amalize kumlisha mtoto kupika sjui ampe dawa uyu then aje kwako ...asipofanya ivo basi kakupa tiket ya kwenda nje??? ahaaaaaaaaaaa jaman km ivo bas na aende once n 4ol hauwez kumfanya mwenzako mtumwa ata kdg by the name of ur HUSBAND bas uoni vya muimu anavyovifanya we unataka ajiinamishe tu kwako miuda woooote???????/
U NI UTUMWA.TENA UTUMWA MKUBWA.
wanaunme wenye busara wanakusaidia kazi ili upate muda mzur pia wa kumliwaza/kuliwazana na kufanyiana mautundu yote............MKE SI MTUMWA kwako kaka ni rafiki ako...unless umeoa mke su wako
 
DUH!....
mkuu kwa kuandika unatisha
 
we unaona icho tu basi......
ebu nambie sasa lunch wap mkuu...
roy hayupo leo sasa inakuwaje?
ukimaliza futa!!!
Hahahaha eti ukimaliza futa we Rose nani kakufundisha umod??
 
Hahahaha eti ukimaliza futa we Rose nani kakufundisha umod??
hahha hah roya roy ndo kanifundsha!!!!!!
teamo ebu soma aralka ufute basi ata km ameona japo tupoteze ushaidi............!!!!!!!
 
Dah... MJ1, mbona unapiga ikulku namna hiyo, kunani?

... i like your signature
 
hahha hah roya roy ndo kanifundsha!!!!!!
teamo ebu soma aralka ufute basi ata km ameona japo tupoteze ushaidi............!!!!!!!

Achana na huyu swala bana....
 
Dah... MJ1, mbona unapiga ikulu namna hiyo, kunani?

... i like your signature
hahaha hapana Acid mie nimewasilisha nlichokisikiza na si vinginevyo

Thanx but its gonna expire soon..nataka niweke nyingine lol.You are so scarce mydia whatz not happening??
 
Mara nyingi kwenye nyumba kubwa ni DO 4 LOVE wakati nyumba ndogo ni LOVE 4 DO ndo msingi wa haya yote yanayotokea
 


Hapo sawa. Hapo tunaenda sawa. Tatizo ni kuweka mambo hadharani, siyo matumizi yake.

Yaani napotumia hiyo kitu, badala ya kutumia ya bibi, nifanye kwa staha bibi asijue si ndio. Sasa hapo inategemea na huyo unayefanya naye, kama analeta za kuleta unampotezea, unakamata mwingine mwenye kuelewa. Kwa kuwa kuwa na bibi peke yake ni praktikale imposibo.

Mpigieni makofi mjukuu wangu tafadhali. Mmi nimekuzawadia hii hapa chini:


The Following User Says Thank You to MwanajamiiOne For This Useful Post:
Asprin (Today)
 
hahaha hapana Acid mie nimewasilisha nlichokisikiza na si vinginevyo

Thanx but its gonna expire soon..nataka niweke nyingine lol.You are so scarce mydia whatz not happening??
Banyankole balaa wallahi... :doh: nimeishia kunawa tu, kula sili mimate tuu
 

Mkuu nimelianzisha kule
 
Banyankole balaa wallahi... :doh: nimeishia kunawa tu, kula sili mimate tuu
Unaniangusha kamanda.....yaani umeshindwa hata kuangusha ndezi bana??......mbona tunawaelewa mradi tu mplay safe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…