Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Kuna mahusiano mkizaa mtoto ndiyo mnaoana na Kuna mahusiano Mimba ikishaingia tu wanaachana
Hapa ndiyo tunajifunza kuwa unaweza kuwa kwenye mahusiano ambayo huwezi jua yanahusiana na nini
Hapa ndiyo tunajifunza kuwa unaweza kuwa kwenye mahusiano ambayo huwezi jua yanahusiana na nini