Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
👀👀Kuna mahusiano mkizaa mtoto ndiyo mnaoana na Kuna mahusiano Mimba ikishaingia tu wanaachana
Hapa ndiyo tunajifunza kuwa unaweza kuwa kwenye mahusiano ambayo huwezi jua yanahusiana na nini
Aiseee imewahi kukutokea hii ???Usisahau yale mahusiano mnaanza kwanza kunjunjana halafu mahusiano yanafata.!
Hivi ephen_ wewe ushawahi kuwa Kwenye mahusiano ya hivyo?Usisahau yale mahusiano mnaanza kwanza kunjunjana halafu mahusiano yanafata.!