Heart
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 2,673
- 1,710
Habari zenu wandugu,
Naomba kufahamu ama kujuzwa kama kuna mahusiano kati ya kuharibika kwa ngozi na unywaji wa pombe kali/bia? Na kama ipo ni kwanini?
Sent using Jamii Forums mobile app