Mahusiano kati ya kuharibika ngozi na unywaji wa pombe

Heart

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
2,673
Reaction score
1,710
Habari zenu wandugu,

Naomba kufahamu ama kujuzwa kama kuna mahusiano kati ya kuharibika kwa ngozi na unywaji wa pombe kali/bia? Na kama ipo ni kwanini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pombe inaifanya ngozi yako inawiri mkuu.. hususan whiskey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…