Waislam hutumia mashairi ktk kumsifia mtume Muhammad (s.a.w).
mf:Kuna kitabu cha mashairi kinaitwa MAURIDI (Baraznje) hutumika ktk sherehe za kiislam kumsifia,na kuelezea historian ya Maisha yake toka kuzaliwa kwake mpaka kufa kwake Muhammad (s.a.w) kwa kusoma hayo mashairi.
Kitabu hiko kilitungwa na Saydina Jafarry baada ya kufa mtume Muhammad (s.a.w).Wanazuoni wakaona kinafaa kutumika ktk sherehe za kidini kama kumbukumbu ktk utajo wake na kumsifu kwake
Lakini pia mtume Muhammad (s.a.w) alikuwa akiwaimbia mashairi Wake zake kama kuwasifia na kuwaonyesha jinsi gani anavyo wapenda.kwahio Mashairi ni moja ya tamaduni za kiislamu
na hio ndio sababu ya waislamu kupenda kuimba na kutunga mashairi.