Mahusiano kuanzia miaka 25+ kijana wa kiume hakikisha una hivi vitu muhimu

Mahusiano kuanzia miaka 25+ kijana wa kiume hakikisha una hivi vitu muhimu

FB_IMG_1736789597814.jpg
 
Ninaweka vya ziada😏:
  • Viwanja visivyopungua vitatu maeneo ya mjini kwenye huduma ya maji na umeme
  • Nyumba mbili zenye vyumba visivyopungua vinne
  • Magari yasiyopungua matatu (Gari ya shamba, Gari ya weekend, Gari ya kawaida
  • Una biashara/uwekezaji unaojiendesha wenyewe bila ufuatiliaji wa juu sana
  • Akaunti ya savings yenye zaidi ya milioni 300.
  • Kadi ya CCM, passport, na NIDA
 
Back
Top Bottom