Tajiri Mnyenyekevu Member Joined Jan 17, 2013 Posts 8 Reaction score 18 Feb 27, 2025 #1 Habari Wana JamiiForums Mambo muhimu kwa kijana wakiume mwenye Umri 25+ Unapokuwa kwenye mahusiano • Kipato • Chumba uwe umepanga • Shughuli yoyote itakayokuweka ubize Vingine Wadau Ongezea kama nimesahau
Habari Wana JamiiForums Mambo muhimu kwa kijana wakiume mwenye Umri 25+ Unapokuwa kwenye mahusiano • Kipato • Chumba uwe umepanga • Shughuli yoyote itakayokuweka ubize Vingine Wadau Ongezea kama nimesahau
majam19 JF-Expert Member Joined Nov 13, 2024 Posts 900 Reaction score 971 Feb 27, 2025 #2 Good advice
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 27, 2025 #3 Sawa sawa
Deeboyfrexh JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 3,417 Reaction score 5,579 Feb 28, 2025 #5 Usikose Condom nyingi hapo kwako
majam19 JF-Expert Member Joined Nov 13, 2024 Posts 900 Reaction score 971 Feb 28, 2025 #6 Deeboyfrexh said: Usikose Condom nyingi hapo kwako Click to expand... Duuuh
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Mar 1, 2025 #7 Hakikisha huyumbishwi na mapenz
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Mar 1, 2025 #8 Hakikisha huyumbishwi na mapenz
Wagumu Tunadumu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2022 Posts 5,276 Reaction score 17,354 Mar 1, 2025 #9
Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 11,557 Reaction score 33,535 Mar 1, 2025 #10 Ninaweka vya ziada😏: Viwanja visivyopungua vitatu maeneo ya mjini kwenye huduma ya maji na umeme Nyumba mbili zenye vyumba visivyopungua vinne Magari yasiyopungua matatu (Gari ya shamba, Gari ya weekend, Gari ya kawaida Una biashara/uwekezaji unaojiendesha wenyewe bila ufuatiliaji wa juu sana Akaunti ya savings yenye zaidi ya milioni 300. Kadi ya CCM, passport, na NIDA
Ninaweka vya ziada😏: Viwanja visivyopungua vitatu maeneo ya mjini kwenye huduma ya maji na umeme Nyumba mbili zenye vyumba visivyopungua vinne Magari yasiyopungua matatu (Gari ya shamba, Gari ya weekend, Gari ya kawaida Una biashara/uwekezaji unaojiendesha wenyewe bila ufuatiliaji wa juu sana Akaunti ya savings yenye zaidi ya milioni 300. Kadi ya CCM, passport, na NIDA