mimi kazini kuna jamaa anaitwa Mswati akiona sketi tu kosa hata kama amechoka lazima afanye kazi,mwingine tunamwita vuvuzela..anapenda sana sifa na kuongea hovyohovyo,sasa ole wako akusikie unamwita hilo jina umekwisha.
Yaani hii mada haina adabu hata chembe..................nimecheka mbele ya Ba Mkwe.daaaaaamn simu hizi loh
Sie HR wetu twamwita...............Excuse Me Boss.......you have a text message
24/7 ni sms na simu za mkononi
Hatari sana hiyo.......hebu ukuje huku kwetu ufanye utafiti,Babu mi sipigi chabo, Mjukuu wako mwenyewe kaniambia LIVE
asante kwa msaada wako wa kunisaidia kuuliza hil swali......atueleze kuanzia pale anapoenda toilet anatoa kufuli,ananyanyua mguuu.....na huo muda wa kati ya dk 15-30,aaahCPU!!!!!CPU we unajuaje jamani au unapigaga chabo? au ni wewe unakula vya watu?
Hatari sana hiyo.......hebu ukuje huku kwetu ufanye utafiti,
Ni kwanini wananiita SMILLING KILLER?
Na huyu dada anayefanya usafi kwanini wanamwita CHAWOTE?
Na kuna draiva mmoja hapa wanamwita DESTROYER... (Huyu inasemekana ana miguu mitatu ila bahati mbaya mmoja una kilema)
Kuna mwingine anaitwa SOPARE (Huyu ana imani yake kuwa K. iko nyumbani kwahiyo akitoka nje hana shida ya K bali tiGO)
asante kwa msaada wako wa kunisaidia kuuliza hil swali......atueleze kuanzia pale anapoenda toilet anatoa kufuli,ananyanyua mguuu.....na huo muda wa kati ya dk 15-30,aaahCPU!!!!!
SOPARE ni janaume bana...amenunua na daladala lake kaliandika SOPARE.....afu anatamba ukilipanda tu ujue kashakupiga SOPARE lolBabu, hilo jina lako ni stahiki kabisa. Tangu nilipokuona pale Zero Pub na hilo Lisura lako, daaaaah! Aiseeee!
Yaani unaweza kuua mtu huku unatabasamu kama la ******. Hufai kabisa aiseeee!
CHAWOTE mmmmh . . . . . umemsoma tabia yake ilivyo??
Huyo SOPARE ni mwanamke???
SOPARE ni janaume bana...amenunua na daladala lake kaliandika SOPARE.....afu anatamba ukilipanda tu ujue kashakupiga SOPARE lol
Hahhhaaaa... watu wengine wamepinda vibaya.... kuda dogo mmoja aliajiriwa... akasikia habari za sopare. akawa anamuogopa vibaya. Sopare akajua dogo anamuogopa. Siku moja Sopare akamfuata Dogo akampa Salary slip yake na mshahara wake wote........ akamwambia "chukua tu dogo, nimeamua kukuzawadia".... Dogo akapaniki, akamtandika ngumi kadhaa, na ukawa mwisho wake wa ajira...hatukumwona tena Dogo wa watuHivi hiyo **** kwenye quote yangu nani kaweka??
Kwahiyo SOPARE anapiga hadi wanaume, akiwemo baba ake na mama ake?
Hahhhaaaa... watu wengine wamepinda vibaya.... kuda dogo mmoja aliajiriwa... akasikia habari za sopare. akawa anamuogopa vibaya. Sopare akajua dogo anamuogopa. Siku moja Sopare akamfuata Dogo akampa Salary slip yake na mshahara wake wote........ akamwambia "chukua tu dogo, nimeamua kukuzawadia".... Dogo akapaniki, akamtandika ngumi kadhaa, na ukawa mwisho wake wa ajira...hatukumwona tena Dogo wa watu
Hahahaha...ukipokea ujue kampuni nzima itakuita KIGODORO.... wote aliowapitia SOPARE wanaitwa Vigodoro.... kwahiyo watu wakikuona umechukua hela hata kama hujatoa sopare watu wataamini umeshapigwa sopare.....Ili aje kuomba SOPARE baadae???
Hata mi namchapa makofi mpaka basi . . .
Lakin ingekuwa sasa hivi ndo ananipa, napokea vizuri . . . .
una uhakika akikutaka hatokukosa????Hahahaha...ukipokea ujue kampuni nzima itakuita KIGODORO.... wote aliowapitia SOPARE wanaitwa Vigodoro.... kwahiyo watu wakikuona umechukua hela hata kama hujatoa sopare watu wataamini umeshapigwa sopare.....Jamaa ana kizizi, akikutaka hakukosi......!
Zipo ukimwomba Mungu akupatie anakupatia unayoitakaSijui kamakuna ndoa siku hizi, My Word