Mahusiano/mapenzi na uongo: Lipi sahihi kati ya haya?

Mahusiano/mapenzi na uongo: Lipi sahihi kati ya haya?

NewDawnTz

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
1,667
Reaction score
362
:mwaaah:

Je, wanawake ni wepesi kudanganyika linapokuja suala la mahusiano/mapenzi au wanaume ni wataalamu wa kudanganya?

Nawasilisha......
 
wanaume ni wataalam wa kudanganya. Kwa lugha nyepesi wanaume ni 'WAONGO'. Bt sio wote ni baadhi ila asilimia kubwa waongo.
 
hakuna mtakatifu likija
kwenye swala la uongo kwenye
mapenzi..
 
Wote ni waongo tu, linapokuja suala la mapenzi...
 
wengi wao ni waongo c wote...ila minamshukru Allah.
 
Asilimia kubwa baadhi ya wanaume ni waongo ktk mapenzi na wana lugha lain za kuwarubun wanawake.
Kwetu sisi ambao hatujajaliwa kuwa ndoa 2muombe sana mungu dunia imechafuka mno mpaka wengine tunaanza kuwaza vby, sijui tusiolewe?
 
wanaume ni wataalam wa kudanganya. Kwa lugha nyepesi wanaume ni 'WAONGO'. Bt sio wote ni baadhi ila asilimia kubwa waongo.

Wanaume ni zaidi.

Asilimia kubwa baadhi ya wanaume ni waongo ktk mapenzi na wana lugha lain za kuwarubun wanawake.
Kwetu sisi ambao hatujajaliwa kuwa ndoa 2muombe sana mungu dunia imechafuka mno mpaka wengine tunaanza kuwaza vby, sijui tusiolewe?
Wanawake ni Malaika.
 
mi nadhani swala la kudanganya katika mahusiano linaendana na umri na sio jinsia, wanaume na wanawake wote wanadanganya at a certain time in their love lives....
mwanamke anadanganya sana akishaachwa na mwanaume wake wa kwanza na mwanaume anadanganya sana akishadanganywa na mwanamke.
 
Fido dido mwenyewe anasema mi mkweli mpaka ndotoni!

Hahahaahahaha
sasa huo si ndio uongo wenyewe..
mmmhhhh lskini mlikuwa good match muongo+muongo=perfect
sababu hapo mnakamatana kilaini
hahhaaha lol
 
Hahahaahahaha
sasa huo si ndio uongo wenyewe..
mmmhhhh lskini mlikuwa good match muongo+muongo=perfect
sababu hapo mnakamatana kilaini
hahhaaha lol

hAHAHAHHA..Akha sijawahi mie!!Labda yeye ndo ananidanganya mimi!!!
 
Back
Top Bottom