Hakuna kiwango. Uongo ni uongo. Ukiangalia idadi ya wanawake waliowahi kudanganya kwenye mahusiano ni ndogo kuliko wanaume waliowahi kudanganya. Ukichukua wanaume 10, 9 wote ni waongo, wakat ukichukua wanawake 10, m1 ndio muongo, 9 wote ni wakweli.Kwani kwenye uongo kuna kiwango kwamba huyu kadangaya kidogo na huyu kadanganya sana???
hakuna mtakatifu likija
kwenye swala la uongo kwenye
mapenzi..
Wote ni waongo tu, linapokuja suala la mapenzi...
Hakuna jambo linanikera kama uongo kwenye mahusiano,Nasali sana niache kuwa muongo kwenye mahusiano.:doh::shut-mouth:
Ukiona mwanamke anadanganywa mara 2, ujue huyo mwanamke ana matatizo, kudanganywa ni mara 1 tu, na hairudii tn.Ni kweli wakuu mnayosema....lakini kuna kisanga kilichonifanya nijiulize swali hili......
Kama unafuatiklia kwa karibu utagundua wanawake ni waathirika wakubwa wa uongo.....
Kwa mfano, juzi alidanganywa akatiwa mimba jamaa akatambaa, ukadhani kajifunza somo....mara kesho tena kadanganywa vilevile....sasa ndio hapo unajiuliza je hawa wadada ni wepesi kudanganyika au sie wanaume ndo wataalamu wa kuwadanganya?
Ukiona mwanamke anadanganywa mara 2, ujue huyo mwanamke ana matatizo, kudanganywa ni mara 1 tu, na hairudii tn.
Hebu cross check hiyo survey yako tenaHakuna kiwango. Uongo ni uongo. Ukiangalia idadi ya wanawake waliowahi kudanganya kwenye mahusiano ni ndogo kuliko wanaume waliowahi kudanganya. Ukichukua wanaume 10, 9 wote ni waongo, wakat ukichukua wanawake 10, m1 ndio muongo, 9 wote ni wakweli.