Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
ha ha ha haPambana na hali yako kamanda. Yaliyomo moyoni mwa binadamu mwingine haijawa rahisi kuyaelewa hata siku moja...daima ni hati hati [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
kweli kabisa yaani ukweli mtupuInawezekana ni kweli lkn sasa hv mapenzi ya kweli hakuna na hii ina apply kwenye pande zote mbili ke na me.
Unaweza kabisa kumpenda mtu kwa dhati, ukamthamini na kumuheshimu pia, usimuombe hela na uko unafanya shughuli zako za kuingiza kipato chako, ukimshauri na kumtia moyo lkn kumbe mwenzio anakuchukulia kina one night stand! Anakuona fala flani hv, anakuona boya mmoja usiyejielewa! Its real real hurts!
I think now ni bora kujipenda mwenyewe na mahusiano yawe kama bonus track. Usiwaze au kutegemea kuwa na mahusiano hai, utaumia sana
Tupe maoni yakoaiseee
Kujipenda mwenyewe ni muhimu zaidi ila kutokana na asili unajikuta lazima umuhitaji mwenzakoInawezekana ni kweli lkn sasa hv mapenzi ya kweli hakuna na hii ina apply kwenye pande zote mbili ke na me.
Unaweza kabisa kumpenda mtu kwa dhati, ukamthamini na kumuheshimu pia, usimuombe hela na uko unafanya shughuli zako za kuingiza kipato chako, ukimshauri na kumtia moyo lkn kumbe mwenzio anakuchukulia kina one night stand! Anakuona fala flani hv, anakuona boya mmoja usiyejielewa! Its real real hurts!
I think now ni bora kujipenda mwenyewe na mahusiano yawe kama bonus track. Usiwaze au kutegemea kuwa na mahusiano hai, utaumia sana
Umeona eehkweli kabisa yaani ukweli mtupu
Kweli unajikuta unauhitaji sasa hakuna wa kweli utafanyaje, uendelee kupigwa dana dana ama utulie zako ujali maisha yako?Kujipenda mwenyewe ni muhimu zaidi ila kutokana na asili unajikuta lazima umuhitaji mwenzako
Mlalamikaji...Inawezekana ni kweli lkn sasa hv mapenzi ya kweli hakuna na hii ina apply kwenye pande zote mbili ke na me.
Unaweza kabisa kumpenda mtu kwa dhati, ukamthamini na kumuheshimu pia, usimuombe hela na uko unafanya shughuli zako za kuingiza kipato chako, ukimshauri na kumtia moyo lkn kumbe mwenzio anakuchukulia kina one night stand! Anakuona fala flani hv, anakuona boya mmoja usiyejielewa! Its real real hurts!
I think now ni bora kujipenda mwenyewe na mahusiano yawe kama bonus track. Usiwaze au kutegemea kuwa na mahusiano hai, utaumia sana
Ni kuwa makini tu ili uweze kumpata mtu sahihi,ingawa pia ni bahati.Kweli unajikuta unauhitaji sasa hakuna wa kweli utafanyaje, uendelee kupigwa dana dana ama utulie zako ujali maisha yako?
Kweli mkuu, wengine wanaishi kwa kuvumiliana tuNdoa zipo mahututi.
Hv hapo nimelalamika!?Mlalamikaji...
Unapendeka lakini....maana ukitaka kupendwa lazima nawe ujiweke sawa ili upendeke.
Tehteh....Hv hapo nimelalamika!?
Kujiweka sawa ndo kukoje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rudisha kwanza ile 50kTehteh....
Kujiweka sawa ni kuwahi kujibu pm yangu.
Morogoro tunaenda lini ?Inawezekana ni kweli lkn sasa hv mapenzi ya kweli hakuna na hii ina apply kwenye pande zote mbili ke na me.
Unaweza kabisa kumpenda mtu kwa dhati, ukamthamini na kumuheshimu pia, usimuombe hela na uko unafanya shughuli zako za kuingiza kipato chako, ukimshauri na kumtia moyo lkn kumbe mwenzio anakuchukulia kina one night stand! Anakuona fala flani hv, anakuona boya mmoja usiyejielewa! Its real real hurts!
I think now ni bora kujipenda mwenyewe na mahusiano yawe kama bonus track. Usiwaze au kutegemea kuwa na mahusiano hai, utaumia sana
Hicho mnachokiita KUJIPENDA MWENYEWE , HAKIPO, sema akikosekana wa kukupenda unajifariji kwa kusema unajipenda, tumeumbwa kupendwa , kupenda na kujipendaKujipenda mwenyewe ni muhimu zaidi ila kutokana na asili unajikuta lazima umuhitaji mwenzako