Mahusiano na huyu mwanamke siyaelewi kabisa, sielewi ananichukuliaje

Hapa mwanaume Akili huna Unahonga Mwenzako anatumia K yake Kujijenga na Kujiimarisha Haoni Shida Kutumia K yake Kufanya Maendeleo yake Binafsi
 
Kitendo cha kutomjibu sms na call zake sio poa,nimemuonea huruma sn, anyways endelea kuchakata mbususu [emoji90]
 
Uliona wapi mwanamke anakuwa jeuri kwa mwanaume mwenye gari? DeepPond

Gari ni uchawi /kimbwata tosha kwa wanawake katika karne hii ya 21.
 
Kwa hivyo uliamua wewe na michepuko tu? Mwanzoni nilidhania mama j ni mkeo....kumbe nae ni mchepuko pia??
 
m unanifurahishaga kwenye kuacha posho........... posho iko fair sana hiyo maana hata ukisema uwafate wale wanaojiuza watakwambia elfu 20.
Ni mule mule TU, wote tunalipia huduma
 
Mkuu samahani lakini, wewe ndio Katibu wa Uvccm Dodoma Bahi aliyekatwa mapanga na mchepuko wake?

Then tuendelee na mada
 
🤣🤣ushakwishaaa
 
Baadae biashara ikifa asingizie TRA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…