whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wana JF MMU leo nimepitapita huku na kule social mediani duh ! kumbe mapemzi huwa yanakaba pabaya eeh! Wanaume nilidhani huwa hakuna maumivu pande zao kumbe siyo kabisa. Baada ya bwana RM wa radio ya mawingu aliyetungua kilio wakati bibiye zama - thunderstorm alipopata wa kumuweka ndani niliishia kushangaa ni juu ya nini mwanaume kutungua kilio kile [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Sasa huyu nae anaweweseka balaa. Anawakilisha chama cha kulia lia [emoji28][emoji28][emoji28]
Mwanaume rijali analia kimya kimya chumbani kwake tena usiku wa manane woooi! [emoji1439]
!
=====
UPDATES;
Mwijaku amfungukia MC Pilipili
Baada ya Mc Pilipili kuonesha kuumizwa na kitendo cha aliyekuwa mpenzi wake Nicole Franklyn kuolewa na Mwijaku na kuamua kupost Instagram, hatimaye Ayo TV imempta Mwijaku ambaye kazungumza na yeye kwa upande wake kuhusu hilo na kusema Mc Pilipili ameachwa na Nikole kwa sababu halikuwa hamhudumii.
Mwijaku amesema Mc pilipili asijilinganishe na yeye kwani amemzidi kimaisha na isitoshe yeye ndiye aliyeweza kumpa dili la na kumlipa kwenye sherehe yake, lakini ameongezea kwa kusema mke wake Nikole alipoona ujumbe huo wa Mc Pilipili alilia sana na kumlaumu mumewe Mwijaku kwanini alimleta Mc Pilipili kwenye sherehe yao.
Wana JF MMU leo nimepitapita huku na kule social mediani duh ! kumbe mapemzi huwa yanakaba pabaya eeh! Wanaume nilidhani huwa hakuna maumivu pande zao kumbe siyo kabisa. Baada ya bwana RM wa radio ya mawingu aliyetungua kilio wakati bibiye zama - thunderstorm alipopata wa kumuweka