Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
SAWA mkuuu 🥱 nimepitiwa mengi sana ndani ya miezi hii mitatu naona kama nilikuwa nimefungwa ndani ya gereza miaka mitatuMtu wa hivyo ni mgonjwa wa afya ya akili yahitaji moyo wa chuma kuweza kumvumilia na kuishi nae.
Hilo lilikuwa gereza huru, ungeendelea kuvumilia ungeugua nawewe.SAWA mkuuu 🥱 nimepitiwa mengi sana ndani ya miezi hii mitatu naona kama nilikuwa nimefungwa ndani ya gereza miaka mitatu
Rayns Vincenzo Jr min -me Binti Sayuni03 Poor Brain Equation x haszuWakuu habari zenu,
Moderators naomba msiunganishe huu Uzi na nyuzi zingine .
Nilikuwa na mahusiano na narcissist kwa muda wa miezi mitatu ila nimekoma kwa kweliii imebaki kidogo nife!
1.anajali hisia zake tu, zako anapuuza hata uwe unaumwa
2.ana asili ya unyonyaji akiamini kwamba yeye ndo anatakiwa kupewa kipaumbele kwenye mahusiano
3.anakuwa mkali ukimuonesha kwamba amekosea ( atafanya kila awezalo kuonyesha kwamba wewe ndo mwenye makosa)
4.hajiamini na anapenda kusifiwa sanaaa ili ajisikie vizuri
5. Amekuwa ni mtu anayeanzisha drama mara kwa mara na pia hukiri kwamba huwa anafanya hizo drama kwa makusudi coz huwa anajisikia mpweke
6. Ametengwa na marafiki zake( akidai kwamba wanamuonea wivu wa kwenye mahusiano yake)
7. Amekuwa ni mtu wa kulalamika sana kuhusu nyumbani kwao kwamba hawamtunzi vizuri na BLA BLA kibao
Aanyway najiona kama ni mfungwa aliyewekwa huru kwa kweliii
Je, ushawahi kukutana na narcissist kwenye mahusiano
Mkuu usoni anakuchekea anaenda kukusema vibaya kwa watu ili aonekane yeye huwa hakosei na Mimi ndo mtu mwenye makosa muda woteHilo lilikuwa gereza huru, ungeendelea kuvumilia ungeugua nawewe.
Mtu wa hivyo ni hatari sana na huwa ndio wako hivyo, muogope mtu ambae kila ubaya/kosa katendewa yeye, hanaga alipoharibu. Yeye ni malaikaMkuu usoni anakuchekea anaenda kukusema vibaya kwa watu ili aonekane yeye huwa hakosei na Mimi ndo mtu mwenye makosa muda wote
Duuuh hapana kwa kweliii nilijitahidi kumfanya ajisikie vizuri, lakini Bado ananiona Sina thamani kwake yoyote, saiziii anahangaika na kutuma meseji hapaa kwa namba ngeni TU, na aliomba msamaha kwamba nimpe last Chance Cha ajabu karudia Tena yale Yale, ishaisha HIYO 😎Unakutana na wa aina hiyo anakwambia "I was in a toxic relationship" unampa pole unamhug ukidhania yeye ndio victim kumbe 🙂
Maisha ya ugomvii usio na sababu kila siku hapana kwa kweliiiUkitazama mahusiano kwa kina utagundua kuwa 90% ya wanawake ni Narcissists. Maana wana pass kila kigezo hapo.
Sawa mkuuu 🥱, ila me kwangu hapana introvert haendani kabisa na narcissistMkuu mbona izoo sababu za kawaida tu!!
Ni wa kike man?Duuuh hapana kwa kweliii nilijitahidi kumfanya ajisikie vizuri, lakini Bado ananiona Sina thamani kwake yoyote, saiziii anahangaika na kutuma meseji hapaa kwa namba ngeni TU, na aliomba msamaha kwamba nimpe last Chance Cha ajabu karudia Tena yale Yale, ishaisha HIYO 😎
Me wa kiume, huyo ni demu narcissistNi wa kike man?
Huyu mtu angekumaliza aisee kuna binadamu hawapendi amani hata kidogo mimi huyu wangu ukikosea jambo dogo tu litakuzwa hilo utanuniwa siku 3 hadi uombe misamaha ya kutoshaWakuu habari zenu,
Moderators naomba msiunganishe huu Uzi na nyuzi zingine .
Nilikuwa na mahusiano na narcissist kwa muda wa miezi mitatu ila nimekoma kwa kweliii imebaki kidogo nife!
1.anajali hisia zake tu, zako anapuuza hata uwe unaumwa
2.ana asili ya unyonyaji akiamini kwamba yeye ndo anatakiwa kupewa kipaumbele kwenye mahusiano
3.anakuwa mkali ukimuonesha kwamba amekosea ( atafanya kila awezalo kuonyesha kwamba wewe ndo mwenye makosa)
4.hajiamini na anapenda kusifiwa sanaaa ili ajisikie vizuri
5. Amekuwa ni mtu anayeanzisha drama mara kwa mara na pia hukiri kwamba huwa anafanya hizo drama kwa makusudi coz huwa anajisikia mpweke
6. Ametengwa na marafiki zake( akidai kwamba wanamuonea wivu wa kwenye mahusiano yake)
7. Amekuwa ni mtu wa kulalamika sana kuhusu nyumbani kwao kwamba hawamtunzi vizuri na BLA BLA kibao
Aanyway najiona kama ni mfungwa aliyewekwa huru kwa kweliii
Je, ushawahi kukutana na narcissist kwenye mahusiano
Eeh! kasheshe😂Sawa mkuuu 🥱, ila me kwangu hapana introvert haendani kabisa na narcissist
Katika kupita pita YouTube naona sifa zotee za covert narcissist anazo, hakuna haja ya kuendelea kuungua kwenye ziwa la Moto bila SABABUHuyu mtu angekumaliza aisee kuna binadamu hawapendi amani hata kidogo mimi huyu wangu ukikosea jambo dogo tu litakuzwa hilo utanuniwa siku 3 hadi uombe misamaha ya kutosha
Changia KITU Dr mpendwa 🙄🙄Eeh! kasheshe😂