Tauceti Rigel
JF-Expert Member
- Mar 6, 2025
- 201
- 556
Let me guess.... Uhusiano wako na wanawake maisha Yako yote ni SIMPING?You are just like the person unayemdescribe
You took a total discount ya mchango wako kwenye hayo mahusiano
100% narcissistic
Pamoja mkuuSAWA mkuu me nipo jamiiforums daily muendelee vizuri
Kwa nini ujitwishe gunia lililojaa misumari?, tafuta anayekupa furaha; maisha haya ni mafupi.
PointKwa nini ujitwishe gunia lililojaa misumari?, tafuta anayekupa furaha; maisha haya ni mafupi.
PIga chiniWakuu habari zenu,
Moderators naomba msiunganishe huu Uzi na nyuzi zingine .
Nilikuwa na mahusiano na narcissist kwa muda wa miezi mitatu ila nimekoma kwa kweliii imebaki kidogo nife!
1.anajali hisia zake tu, zako anapuuza hata uwe unaumwa
2.ana asili ya unyonyaji akiamini kwamba yeye ndo anatakiwa kupewa kipaumbele kwenye mahusiano
3.anakuwa mkali ukimuonesha kwamba amekosea ( atafanya kila awezalo kuonyesha kwamba wewe ndo mwenye makosa)
4.hajiamini na anapenda kusifiwa sanaaa ili ajisikie vizuri
5. Amekuwa ni mtu anayeanzisha drama mara kwa mara na pia hukiri kwamba huwa anafanya hizo drama kwa makusudi coz huwa anajisikia mpweke
6. Ametengwa na marafiki zake( akidai kwamba wanamuonea wivu wa kwenye mahusiano yake)
7. Amekuwa ni mtu wa kulalamika sana kuhusu nyumbani kwao kwamba hawamtunzi vizuri na BLA BLA kibao
Aanyway najiona kama ni mfungwa aliyewekwa huru kwa kweliii
Je, ushawahi kukutana na narcissist kwenye mahusiano
What if wewe ndii Narcist huishi vituko na unachukulia poa?Huyu mtu angekumaliza aisee kuna binadamu hawapendi amani hata kidogo mimi huyu wangu ukikosea jambo dogo tu litakuzwa hilo utanuniwa siku 3 hadi uombe misamaha ya kutosha
Mimi mpole mtulivu sana tu mkuu sina hizo tabiaWhat if wewe ndii Narcist huishi vituko na unachukulia poa?
Duuuh ni ngumu Sana lakini utapita tu mkuuNilikua kwenye narcissistic relationship for 5 good years.Wakati nipo kwenye mahusiano hayo sikujua kama mwenzangu ni Narc, nimekuja kujua tayari nimenyonywa kila aina ya resource niliyokuwa nayo, kuanzia finances mpaka self image.
Na by the time nipo naye ningeambiwa yule mtu ni narcissistic ningegoma kwa nguvu zotee.
Miezi kadhaa imeshapita tangu mahusiano yaishe lakini bado confusion ina niattack sometimes, naona ushetani niliyofanyiwa ila bado nna kile kinotion cha kummiss abuser wangu. Sijui ndo trauma bond wanaita!.
I hope nitapona as I go ila kuwa na mahusiano na narcissist iwe ya mapenzi au mahusiano yoyote ya ukaribu ni "hell on earth".
Hata kama relationship imekufa, you don't move on as you would in a normal relationship. I'm broken, I can feel it deep down, circuitry ya hisia na trust imesha ji short circuit naona.
These people are Devilish! Hey!.
Jinsia ya mtoa mada ni Siri? Nauliza tena Mtoa mada u jinsia gani?
This! Kiuhalisia sio kwamba unamiss per say bali Kuna sense of guilt, ujue ulikuwa unamchukulia kama mtoto muda wote (watoto they drain resources ila we love them unconditionally); Sasa imagine huyu mtoto uache kutoa matunzo lazima ujisikie uko off, ndo maana mara nyingi naona Bora mahusiano yaishe kwa infidelity, maana ukimkamata ndani ya usaliti basi walau ile guilt inafunikwa na disgust pamoja na chukiMiezi kadhaa imeshapita tangu mahusiano yaishe lakini bado confusion ina niattack sometimes, naona ushetani niliyofanyiwa ila bado nna kile kinotion cha kummiss abuser wangu. Sijui ndo trauma bond wanaita!.
Wa kiume na huyo narcissist ni mwanamke
Asante sana mkuu, kusema kweli leo sio kama jana, step by step naenda.Duuuh ni ngumu Sana lakini utapita tu mkuu
Kama mwanangu huna Cha kuchangia Wala kuongea ni Bora ungekaa kimya, kuliko kuongea pumba kama hiiMbona mwandiko kama wote wanawake?
Haya mambo ya watoto wa kishua siyaweziChangia KITU Dr mpendwa 🙄🙄
Naunga mkono hojaUkitazama mahusiano kwa kina utagundua kuwa 90% ya wanawake ni Narcissists. Maana wana pass kila kigezo hapo.