A man from Island
JF-Expert Member
- Aug 13, 2020
- 606
- 1,392
Hapo mim mwenyewe nilishashindwa kuelewa, hv unakuta ni matatizo ya akili au hii huwa ni nin, yaan unakuta mtu kakosea kabsa na kosa linaonekana dhahili, lakn unapomsema, anaanza kukwambia "labda na wew una yako, mara unanitaftia sababu, sasa mim nimefanya nini" Yaan ki ukwel kama una hasira unaweza kupasua kichwa cha mtu.Aisee lakini wanawake wengi wapo hivyo aisee..
Wanawake ambao wanaenda sawa na wenza wao ni wachache sana ukiona nje unaweza kudhani ni watu kumbe hamna kitu kabisaa..Hapo mim mwenyewe nilishashindwa kuelewa, hv unakuta ni matatizo ya akili au hii huwa ni nin, yaan unakuta mtu kakosea kabsa na kosa linaonekana dhahili, lakn unapomsema, anaanza kukwambia "labda na wew una yako, mara unanitaftia sababu, sasa mim nimefanya nini" Yaan ki ukwel kama una hasira unaweza kupasua kichwa cha mtu.
Kwanza Poles sana mkuuWakuu habari zenu,
Moderators naomba msiunganishe huu Uzi na nyuzi zingine .
Nilikuwa na mahusiano na narcissist kwa muda wa miezi mitatu ila nimekoma kwa kweliii imebaki kidogo nife!
1.anajali hisia zake tu, zako anapuuza hata uwe unaumwa
2.ana asili ya unyonyaji akiamini kwamba yeye ndo anatakiwa kupewa kipaumbele kwenye mahusiano
3.anakuwa mkali ukimuonesha kwamba amekosea ( atafanya kila awezalo kuonyesha kwamba wewe ndo mwenye makosa)
4.hajiamini na anapenda kusifiwa sanaaa ili ajisikie vizuri
5. Amekuwa ni mtu anayeanzisha drama mara kwa mara na pia hukiri kwamba huwa anafanya hizo drama kwa makusudi coz huwa anajisikia mpweke
6. Ametengwa na marafiki zake( akidai kwamba wanamuonea wivu wa kwenye mahusiano yake)
7. Amekuwa ni mtu wa kulalamika sana kuhusu nyumbani kwao kwamba hawamtunzi vizuri na BLA BLA kibao
Aanyway najiona kama ni mfungwa aliyewekwa huru kwa kweliii
Je, ushawahi kukutana na narcissist kwenye mahusiano
Hili neno sijui maana ake mkuu. Unaweza nifafanulia kidogonarcissist
Hahah 🤣🤣mahusiano yanayoonewa wivu ndio yako na yeye?6. Ametengwa na marafiki zake( akidai kwamba wanamuonea wivu wa kwenye mahusiano yake)
Kivipi yaani. Mkuu ww ni wa kutikiswa na mwanamke kweliana asili ya unyonyaji
sweeryWakuu habari zenu,
Moderators naomba msiunganishe huu Uzi na nyuzi zingine .
Nilikuwa na mahusiano na narcissist kwa muda wa miezi mitatu ila nimekoma kwa kweliii imebaki kidogo nife!
1.anajali hisia zake tu, zako anapuuza hata uwe unaumwa
2.ana asili ya unyonyaji akiamini kwamba yeye ndo anatakiwa kupewa kipaumbele kwenye mahusiano
3.anakuwa mkali ukimuonesha kwamba amekosea ( atafanya kila awezalo kuonyesha kwamba wewe ndo mwenye makosa)
4.hajiamini na anapenda kusifiwa sanaaa ili ajisikie vizuri
5. Amekuwa ni mtu anayeanzisha drama mara kwa mara na pia hukiri kwamba huwa anafanya hizo drama kwa makusudi coz huwa anajisikia mpweke
6. Ametengwa na marafiki zake( akidai kwamba wanamuonea wivu wa kwenye mahusiano yake)
7. Amekuwa ni mtu wa kulalamika sana kuhusu nyumbani kwao kwamba hawamtunzi vizuri na BLA BLA kibao
Aanyway najiona kama ni mfungwa aliyewekwa huru kwa kweliii
Je, ushawahi kukutana na narcissist kwenye mahusiano
🥱🥱🥱 Aaah tulia 😂😂
Kaka ni mambo ya kipuuzi kweli anyway ngoja nifate maisha yangu tuHili neno sijui maana ake mkuu. Unaweza nifafanulia kidogo
Hahah 🤣🤣mahusiano yanayoonewa wivu ndio yako na yeye?
Kivipi yaani. Mkuu ww ni wa kutikiswa na mwanamke kweli
Asante mkuu 🤝🤝Kwanza Poles sana mkuu
Duuuh hapana kwa kweliii nilijitahidi kumfanya ajisikie vizuri, lakini Bado ananiona Sina thamani kwake yoyote, saiziii anahangaika na kutuma meseji hapaa kwa namba ngeni TU, na aliomba msamaha kwamba nimpe last Chance Cha ajabu karudia Tena yale Yale, ishaisha HIYO 😎
unaweza upate wazimu!Niliwahi kukutana na mwanaume wa hivi, aisee tulipobreak nilishukuru… Aaaaahhh hapana
aiseeeh!Huyu mtu angekumaliza aisee kuna binadamu hawapendi amani hata kidogo mimi huyu wangu ukikosea jambo dogo tu litakuzwa hilo utanuniwa siku 3 hadi uombe misamaha ya kutosha
unaweza kuwehuka!Sawa mkuuu 🥱, ila me kwangu hapana introvert haendani kabisa na narcissist
Ni changamotoo sana mkuuunaweza upate wazimu!
Halafu wala hawajawahi kuona makosa yao
Ndio maana wengi wao huwa wanapigwa na wanaume kisha inaonekana mwanaume ana mkono mwepesi. Huwa tunawatetea kwasababu wapo wanaoonewa na wanaume ambao wanapiga hata kwa vitu vya kupuuza tu ila wengi wao siku hizi anaweza kukupa sababu ya kumpiga hata kama sio mpigaji wa wanawake.Hapo mim mwenyewe nilishashindwa kuelewa, hv unakuta ni matatizo ya akili au hii huwa ni nin, yaan unakuta mtu kakosea kabsa na kosa linaonekana dhahili, lakn unapomsema, anaanza kukwambia "labda na wew una yako, mara unanitaftia sababu, sasa mim nimefanya nini" Yaan ki ukwel kama una hasira unaweza kupasua kichwa cha mtu.
😂😂😂😂 Inakuwa kama zile movies ambazo jitu linalotafutwa na polisi kwa mauwaji ya watu linakuja kwenye familia nje ya mji huko halafu linajifanya ni pastor ambaye yupo safarini anahitaji hifadhi ya kulala japo usiku m'moja kisha kesho aendelee na safari. Kumbe ni muuwaji.Unakutana na wa aina hiyo anakwambia "I was in a toxic relationship" unampa pole unamhug ukidhania yeye ndio victim kumbe 🙂
Kuna demu huyo wa kichagga, ukimuona ni mzuri balaa. Alikuwa anaishi na jamaa na wamepata watoto wawili. Jamaa alikuwa anamtembezea kichapo balaa. Sasa kwa mtu kawaida ukiwazia inakuwaje binti mzuri kama vile amfanye jamaa atoe kichapo.Mtu wa hivyo ni hatari sana na huwa ndio wako hivyo, muogope mtu ambae kila ubaya/kosa katendewa yeye, hanaga alipoharibu. Yeye ni malaika