Mahusiano na narcissist unaweza kufa!!

Kwa kifupi ni hakupendiii
 
After that relation ,ikija normal good relation utaona kama ni fake maana umeshazoea abuse na kurupushani, utamuacha good person sabab hujazoea

Jipe muda mrefu, kaa bila relation until system itakapo ji restore
 
Mwanamke hawezi nifanyia hayo yote alafu bado niendelee kuwa nae labda niwe nimerogwa.
 
Mtu wa hivyo ni hatari sana na huwa ndio wako hivyo, muogope mtu ambae kila ubaya/kosa katendewa yeye, hanaga alipoharibu. Yeye ni malaika
Hatari sana… umelenga mule mule yaani wanajiona malaika; plus ujuaji mwingi kweli. Majority ni women ambao upringing yao haikuwa nzuri kwa kumkosa Baba wakumkosoa au kumchapa au kumthreaten au kum encourage etc
 
Kazi yake ni kutetea mambo ya hovyo tu kwenye jamii. Sijui kamelelewaje haka ka mtu.
Sio wee ndo tuku judge umelelewaje, maana unahangaika na mambo yaliyo nje ya uwezo wako, na bado pia huwezi kubadili chochote ktk hizo fikra zako.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…