Mahusiano na narcissist unaweza kufa!!

I’m that type of girl na ayo uliosema ni madogo ila nikidate na mtu tukiachana hawawezi kumove on awe introvert ,extrovert wote watarudi tu πŸ˜‚πŸ€£ sijui ni nini mtu unamvunja mkono na bado atalia kurudiana . Until Uwe toxic na mean ndo wanaume watakupenda na kukuvalue mm nimenufaika na hio tabia 🀣
 
WANAWAKE WENGI WANAPOKUWA WAREMBO NA UMRI WA 20-32 NI MAJANGA.WENGI WANAHARIBI MAISHA YA WANAUME WENGI.KWA UFUPI UKIONA DEMU HAMUELEWI INGIA MITINI USIWEKEZE CHOCHOTE KWA MWANAMKE WA STAREHE.JIPE MUDA MREFU KABLA HUJAWEKA KAMBI.MIMI KUNA MMOJA AMEINGIA MIAKA 5 JUZI AMERUDI NIMEMPIMA NIMEKULA MBUNYE KAPITA HIVI HATA GETO SIWEZI KUMUACHA.MAISHA YENYEWE MTIHANI HALAFU UNAPOTEZA MUDA NA MWANAMKE MPUMBAVU.
 
We mtoto wewe mbona me hujawahi nifanyia hivoπŸ€£πŸ€£πŸ€—
 
🀣🀣🀣🀣.
 
Mbona katili sana lakini sweery wewe,
 
Hii ni kweli, hasa kwa wanawake wembamba
 
K
Mkuu usoni anakuchekea anaenda kukusema vibaya kwa watu ili aonekane yeye huwa hakosei na Mimi ndo mtu mwenye makosa muda wote
Kuna mjinga mmoja, namvumilia sana. Hebu fikiria najifulia nguo, and sometimes najipikia, sasa namuuguza kwa gharama zote, anaumwa shida fulani, halafu bado ananisema kwa watu eti simjali kisa nimekarabati banda fulani lilikuwa limepasuka kiasi lingeanguka. Kwake anaona nimeharibu hela na hajakosa huduma yoyote sababu ya ukarabati huo. Nahisi ni wabinafsi kama wachawi.
 
Daaah wanawake Wana shida, anyway muuguze kwanza akipona .............
 
Ha ha ha....uyo Hana tofauti na mchepuko wangu mamaJπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…