Mahusiano na narcissist unaweza kufa!!

Mbona umetaja tabia za almost wanawake wote
 
Kuna watu ukidate nao ndo utaelewa kwa nini uliwakuta single
Mimi niliwahi kuwa na mwanamke kwa kweli nilikuwa very kind kwake na nice person katika mahusiano yangu na yeye sijawahi kumcheat, nilikuwa na hudumia kulingana na uwezo wangu yeye alikuwa single mother sababu kuu aliniambia ya kuachana na huyo mzazi mwenza alisema ni kuwa alikuwa mlevi, anapigwa sana na hamuudumii, nilikuwa namuhudumia yeye na Kuna wakati mtoto wake, sijawahi kumpiga, sinywi pombe na pia sio mtu wa mademu lakini pamoja haya alinicheat, pia akawa nae anakunywa pombe wakati alikuwa hanywi kabisa alafu Kuna kipindi nilikuwa sipo vizuri financially eti akawa anadai simsadii akiwa ana shida zake yaani misadaa yangu yote niliyomfanyia kasahau. Kupitia huyu manzi nikajifunza kitu moja sitakiwi niwe nice sana kwa mwanamke yoyote nusu bad boy nusu nice person ndio utaenda nao vizuri tangu ni copy hii dhana imenisaidia kutoteseka kwenye mahusiano
 
Watu wanaishi na Traumaz kiasi hawaoni hata mema wanayofanyiwa( yaani wameshakua totally blinded na maumivu ya nyuma)
 
Sikukusea kwasababu sikujenga malengo nae na sio kwamba nilimtongoza ni yeye ndio alianza kunipenda
Daah maana hapo ni changamoto sasa, ndo maana wengi wanasemaga mwanamke akianza kukutongoza au yeye kuonesha dalili ni malaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…