Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Je ni kweli na haki kuleta ugomvi ndani ya ndoa pindi mwenzi wako anapokuaaga na kukwambia kuwa leo kuna match ya mpira hivyo nitaenda kuangalia hata kama nyumbani kuna DSTV na kila kitu kipo connected completely?
Au inakuwa hulka tu ya ugomvi?
Je ni kweli na haki kuleta ugomvi ndani ya ndoa pindi mwenzi wako anapokuaaga na kukwambia kuwa leo kuna match ya mpira hivyo nitaenda kuangalia hata kama nyumbani kuna DSTV na kila kitu kipo connected completely?
Au inakuwa hulka tu ya ugomvi?
...wangu akiniletea hizo za kuleta naye itakuwa marufuku kwenda saluni!
Unaona sasa yale yaleee ye akimwaga mboga we mwaga ugali - haina faida kwenye ndoa.
...utakuta mamsapu ana hair dryer, sijui rollers, makopo kopo kuanzia dressing table mpaka bafuni (nafasi hakuna), Vioo kila pembe, Maji na umeme upo masaa 24, safari ya saluni ya nini eti kukosha nywele tu?...
Kila mtu na starehe zake bana.
...... Kabisa na ndivyo ninavyoamini mimi. Kwa sababu utakuta sababu tunazozitoa kw akuwakatalia kuangalizia mpira ni kuwa mnaweza mkawa mnacheat huko kumbe hatujui kuwa kama mtu ni wa kucheat atacheat tu hata umfungie ndani. So ni vizuri kupeana uhuru kwa kuwa ni njia mojawapo ya kudumisha mahusiano kwa kuwa mnaonyeshana kuwa mmekomaa kwa kutrust each other
nakubaliana na wewe mj.ila minaandika kutokana na experience,kuna discolosed friends walikuwa wanaaga wanakwenda huko kwenye mipira ila wanaishia nyumba ndogo wanaangalia mpira na MENGINEYOOOOO....so silaumu hawo mawifi wanaokasirika inawezekana wanaexperince hiyo,mi nisingeweza kudoubt kama nisingeona na macho yangu....