Mahusiano na wafanyakazi majumbani, ni tamaa tu?

mahusiano hayo yanategemea sababu mbalimbali hadi yakatokea.
inawezekana mazahausi ndo chanzo pale anapomwekea rodibroko baba ktk masuala ya unyumba.
wakati mwingine baba ndiyo chanzo kutokana na tamaa zake binafsi yaani yeye kumwona hausigero tu hivhiv haliziki hadi amsugue kidogo. nk nk nk......!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…