Zainab j
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,817
- 2,362
Morning JF family,
Aisee mahusiano ya hivi visichana ni vichekesho na pasua kichwa kwa sisi watu wazima, yaani Kuna kabinti fulani kanauza pharmacy maeneo ya mjini kati, sasa bwana nilimzimia alivyo black na flat screen fulani halafu mrefu.
Mzee nikawa namtoa lunch anakula kitimoto, japo mimi muislamu lakini nilikuwa namnunulia, acha visenti vidogo dogo nampea.
Sasa ukimuambia masuala ya kunyanyanduana, heti anauliza, "Kwahiyo unachotaka kwangu ni mapenzi tu au?"
Sijamjibu nasubiria anipige mzinga ndio nimpe jibu muhafaka, maana kana njaa sana ya hela.
Aisee hivi visichana havifai kabisa kuwa na mahusiano nao sisi watu wazima, anakulingia wewe wakati huohuo unakuta kuna msela tu mvaa heleni anamla free, au madereva wa bodaboda unakuta wanajipigia buree.