Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Katumia tafsida tu ila mizigo aliyomaanisha ndio izo izo changamoto unazosema wewe.Aisee huyu kiongozi ni kilaza kwani mizigo inalinganishwa na akili au na nguvu..akili inanilinganishwa na changamoto angesema usibebe changamoto zinazokuzidi akili hapo ningemuelewa.
Kwa ujumla sijamuelewa...
kwa hiyo mizgo kama magunia,mabegi n.k mtu anabebeshwa kulingana na akili au na nguvu...eti hawa ni viongozi wanaotakiwa kutumia akili kutatua changamoto za maendeleo..shame
Umekurupuka kujibu bila kushirikisha akili mwisho umejidhalilishaAisee huyu kiongozi ni kilaza kwani mizigo inalinganishwa na akili au na nguvu..akili inanilinganishwa na changamoto angesema usibebe changamoto zinazokuzidi akili hapo ningemuelewa.
Kwa ujumla sijamuelewa...
kwa hiyo mizgo kama magunia,mabegi n.k mtu anabebeshwa kulingana na akili au na nguvu...eti hawa ni viongozi wanaotakiwa kutumia akili kutatua changamoto za maendeleo..shame
Kajidhalilisha kiongozi wako sio mimi ila kwasababu akili yako ni ndogo kama yake si kushangai..watanzania wengi wana akili ndogo...hawana uwezo hata wa kureason vitu vidogo..ndio masna wanaongozwa na vilazaUmekurupuka kujibu bila kushirikisha akili mwisho umejidhalilisha
Unajua maana ya tafsida au umekaririsha tu msamiati ukaja kuandika huku.Katumia tafsida tu ila mizigo aliyomaanisha ndio izo izo changamoto unazosema wewe.
Kwani kwenye mahusiano watu wanaingia kubeba iyo mizigo ya mabegi au magunia? mzigo aliomaanisha mtoa mada ndio izo changamotoUnajua maana ya tafsida au umekaririsha tu msamiati ukaja kuandika huku.
umeielewa mizigo anayoizungumzia? yaani usibebe mambo yasiyokuhusuAisee huyu kiongozi ni kilaza kwani mizigo inalinganishwa na akili au na nguvu..akili inanilinganishwa na changamoto angesema usibebe changamoto zinazokuzidi akili hapo ningemuelewa.
Kwa ujumla sijamuelewa...
kwa hiyo mizgo kama magunia,mabegi n.k mtu anabebeshwa kulingana na akili au na nguvu...eti hawa ni viongozi wanaotakiwa kutumia akili kutatua changamoto za maendeleo..shame
Changamoto ni sehemu ya maisha mafanikio yanakuja baada ya kuweza kukabiliana na changamoto mbalimbaliAisee huyu kiongozi ni kilaza kwani mizigo inalinganishwa na akili au na nguvu..akili inanilinganishwa na changamoto angesema usibebe changamoto zinazokuzidi akili hapo ningemuelewa.
Kwa ujumla sijamuelewa...
kwa hiyo mizgo kama magunia,mabegi n.k mtu anabebeshwa kulingana na akili au na nguvu...eti hawa ni viongozi wanaotakiwa kutumia akili kutatua changamoto za maendeleo..shame
we nae!Aisee huyu kiongozi ni kilaza kwani mizigo inalinganishwa na akili au na nguvu..akili inanilinganishwa na changamoto angesema usibebe changamoto zinazokuzidi akili hapo ningemuelewa.
Kwa ujumla sijamuelewa...
kwa hiyo mizgo kama magunia,mabegi n.k mtu anabebeshwa kulingana na akili au na nguvu...eti hawa ni viongozi wanaotakiwa kutumia akili kutatua changamoto za maendeleo..shame
sure![emoji23]Umekurupuka kujibu bila kushirikisha akili mwisho umejidhalilisha
Kwani kuna tafsiri nyingine ya mizigo kwenye kamusi tofauti na tafsiri yake ilivyo...kumbuka huyo ni kiongozi tena waziri na anawakilisha nchi kwenye comment au hotuba yake,maana comment yake inaanda mbali..hivi kwa hizi nchi au jamii ambazo wanajifuza kiswahili hawawezi kuelewa comment eti ya usibebe mzigo unaokuzidi akili yako...kwani akili imeanza kubeba mizigo tokea lini?we nae!
Kwahyo ukisikia mizigo unajua moja kwa moja ni magunia?! [emoji23][emoji23]
hahahKwani kuna tafsiri nyingine ya mizigo kwenye kamusi tofauti na tafsiri yake ilivyo...kumbuka huyo ni kiongozi tena waziri na anawakilisha nchi kwenye comment au hotuba yake,maana comment yake inaanda mbali..hivi kwa hizi nchi au jamii ambazo wanajifuza kiswahili hawawezi kuelewa comment eti ya usibebe mzigo unaokuzidi akili yako...kwani akili imeanza kubeba mizigo tokea lini?
Shalom,
Mishaa mishangazi na maisha matamu, amua utakavyo mapenzi ni maisha kupanga ni kuchagua Usibebe mizigo inayokuzidi akili yako.
Tuendelee na maisha matamu
Wadiz