maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
Habari za weekend wananzengo, hope fully mko poa as usually
Leo nimeona nishare na nyie wananzengo kuhusu mahusiano sugu kwanini watu wanashindwa ku move on yaani unakuta watu wameachana ila mechi za kirafiki wanaplay kama kawaida watoto wa kisasa mnaita kupasha viporo
Hizi ni baadhi ya sababu zinazopelekea mahusiano sugu
Upendo wa kweli, hii ndo unakuta watu wameachana lakini bado wanapendana, wanachat, wanameet na wanasex kama kawaida
Utango na ubamia, Asilimia kubwa wanaume wana maumbile ya kawaida hapa nazungumzia nchi tano mpaka tano na nusu, asa unakuta demu kabahitika sijui kudeti na mwanaume mwenye hogo la kwenda wenyewe wanaita mguu wa mtoto a.k.a tango, asa apo atatanuliwa uke na kua kulingana na tango la mtu wake , asa ikitokea wameachana demu anaingia tena kwenye mahusiano hapo inabidi abahatike tena mwenye hogo maana akipata kibamia au ya kawaida na uke ushatanuka inakua kaz bure hawawezi kumfanya afeel kama alivokua na mwenye tango, mwisho wa siku mtu haridhiki anarudi kupasha viporo na mtu wake wa zamani
Matunzo na kujali hapa nazungumzia wale wezangu na mimi tusio jua kutunza wala kujali hatuna maneno mazur kwa wenzi wetu yaani anaomba mchezo anakwambia "unakuja au huji, kama huji sema mi nipize zangu punyeto" hakuna mwanamke asiependa kubembelezwa, afu ata akija mapenzi mnafanya kama vita unakuta mtu anavaa chupyi ya mwenzie kichwani yaani kama Rambo, unamvua mtu nguo utafikiri unafungua soda, apo mtu lazima amkumbuke ex wake kama alikua anampatia vizuri lazima akapashe kiporo
Kushindwa kumfikisha mwenzio anapotakiwa kufika, hii haina ata haja ya kueleza sana iko wazi tu hakuna asiependa kuenjoy na kilele ndo utamu wenyewe
Pesa, pesa iheshimiwe kama huna pesa mtu ata umfanyie vp ataona unamkera, yaani mtu ata akilia vishida vidogo unshindwa kumtatulia akati akimkumbuka ex wake alikua hmiss kitu kwanini asiende kupasha kiporo maana anajua hawezi kosa pewa ata elfu 30 ya boda
All in all niwakumbushe tu wanawake kwamba sie wanaume hatunaga noma kwene ile kitu ata tukiachana we ukiileta tunakula na maisha yanaendelea maana ile kitu hakuna sehemu inalimwa