Mahusiano sugu

Mahusiano sugu

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
Nishawahi kuandika humu kuhusu mahusiano sugu humu mkanipuuza

Saizi mnaishi humo mnashindwa ku move on

Mmegeuka watumwa wa wapenzi ambao hamuoni future kwao

Kila siku ni vilio vya hasara ya pesa na muda mtu anatreat atakavyo anajua huna options na kweli huna option

Kwa kuongozwa na mioyo mtateswa na mapenzi maisha yenu yote maana moyo hauna ga akili
 
Ngoja wanaotesekaa waje wadhibitishee usemayo n kwelii au unateseka mwenyewe!!!
 
Back
Top Bottom