Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
1. Mwanaume ukionesha unampenda sana mwanamke, mwanamke ataanza kuleta visa kisa anajua unampenda ila siku ukibadilika Mwanamke atasema Mme wangu sikuelewi mbona siku hizi umebadilika.
2. Huwezi kuona umuhimu wakitu kwa ukubwa mpaka kiondoke, ndo walivyo wanadamu wote sio mwanAmke au mwanaume.. Leo binti unakuwa nae kwenye mahusiano unampenda unajaribu kuzizima tamaa anaanza kukuletea visa.
3. Siku zote mwanaume ana akili za ziada na akili ya mwanaume inafikiria sana mpaka kuja kufanya mahamuzi ndo maana wanaume baadhi kuacha inakuwaga ngumu kwa sababu ya kufanya tafiti nani mwenye kosa katika ugomvi ambao umetokea..
4. Mwanaume ni bidhaa adimu sana duniani, ni wanaume wachache sana kwa karne hii kukubali kosa na kukuomba msamaha we mwanamke, hata uwe na pesa vipi lazima utahitaji tulizo la MOYO ila tambua hakuna mwanaume anapenda kugombana kila siku.
5. Wivu ndo mapenzi yenyewe ila anagalia huo wivu unatumia njia gani kuonesha wivu tusifikie uko kuanza kuuana kisa mapenzi, yatakiwa mmoja kujishusha na mmoja akamsikiliza mwenzake.
6. Dunia/ ulimwengu wa sasa hivi upendo ushakuwa dhahabu kutokana na watu kuhitaji ngono sana zaidi ya mapenzi(upendo) furaha watu wamekosa roho zimebadilika sasa nakushauri we dada kaka jitambue ukimpata akupendae na umpendae mpende hakuna MAISHA zaidi ya haya.
7. HOFU.. ya m.mungu itawale kwenye mahusiano yenu nadhani kila mtu atamuamini mwenzake, shida na hali ngumu ni mapito tu kwenye MAISHA.
8. Usimblock mtu kwa kauli zake uenda uelewa bado na UKIONA una muda wa kukaa chini kumuelezea mtumie mtu uenda akamueka kwenye msitali.
9. usimchukie mtu maana huna hata huwezo wakuumba hata unyoa, so wote tumeumbwa na wote tuna nyama.
10. Ridhiki anatoa allha/mungu pekee, na kila mtu ni mtafutaji sema mungu utoa kwa amtakaye na anamnyima atakaye... so usikate Tamaa. (Never give)
11. Mapenzi ni hisia ... hakuna mtu amabaye hawezi kukuelew endapo utakuwa na kauli nzuri. Afu tambua kuna wanaume wapenda kupewa kuliko kutafuta ila MWISHO wao utumia hizo pesa kwa watu wao wanao wapenda.
12. Wanaume sio wa mama mmoja ila ukiwa na hisira kwa mmoja na utakayekuja kuwa nae nadhani utakuwa na hasira nae. Ukiondoka kwa shari nadhani lazima utafika kwa shari.
13. Tuna akili na MAARIFA na hofu ya mungu.. Asiyejitambua atakuuliza umefika wapi ila tambua nikiwA Levo fulani nadhani nakuwa sina time ya kukupa madini kama hizi.. usidhani Pesa ndo kila kitu hukuwai kushika ela ndo maana unaongea hayo mambo yako ya upuuzi.
14. Vijana tuko bize kuzungumzia waliofanikiwa bila kuangalia MAISHA yetu binafsi wapi tuliko toka... PAMBANA maana wadogo zako wanakutegemea.
• Nadhani Tumeelewana hapo kama umeweza soma , tusiwe wavivu kusoma, soma upate maarifa
👇
Me sio mkamilifu japo na shukhuru kwa wangu utihifu Amen.
Siku Njema.