Mahusiano ya aina hii ni ya uuwaji kabisa

Mahusiano ya aina hii ni ya uuwaji kabisa

jembe afrika

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
7,603
Reaction score
3,776
Nimejikuta naandika hapa kwa namna nilivyojionea mwenyewe kwenye mahusiano. Unakuta uko kwenye mahusiano na mtu...unamsaidia mambo hata kama si kuyamaliza ila yale ya dharura unayapa kipaumbele, ikumbukwe kila mmoja anashughuli inayomuingizia kipato.

Sasa inafikia mwanamme kazi zako zimesimama, huoni hata akikufariji na mbaya zaidi unajikuta hata unapoamua kumuungisha kwenye biashara zake bado anakupiga bei za wapita njia na mbaya zaidi anakukumbushia ahadi zingine ulizomuahidi na wakati anajua umeteteleka.

Wanawake wa aina hii Mara nyingi wanaishia kumegwa na watu wanakula kona.
 
Kimbia mapema ukikutana na wa hvyo maana anapenda mfuko wako kuliko anavyokupenda wewe.

Siku mfuko ukibumburuka atakupiga chini kwa aibu mkuu.
 
Back
Top Bottom