Mahusiano Ya kiafrika vs USA

Mahusiano Ya kiafrika vs USA

Cathylin 2002

Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
31
Reaction score
128
Habari wanna jm

Leo napenda nionge na vinaja 20s mpaka 35 ni kwa ufupi

Moja ya mambo muhimu ni mahusiano je mwanamke gan sio wa kuwa na mahusiano nae kabsa ?

✓kama hawez kumud gharama za kusuka na anapenda kusuka 3x a month

✓Mwanamke muomba pesa za kula
✓kijana usiwe na mwanamke amepanga Hana Kaz
✓mwanamke asie na naul ya kuja ulipo
✓mwanamke Alie soma sana sio mkee

Mkiweza mabinti wa kiislamu ni Bora San kitabia hata visions Yao ya ndoa ni open San kuliko sis wangine , Just imagine unaoa binti ambae chuo kikubwa alicho soma ni Dini tu

Mahusiano ya USA

Yapo straight forward kwamb mnaamua yaweje mkienda kula kila mtu alipe

Kuna casual relationship kila mtu Hana habari na mwenzie lkn mna meet sometimes

Kiufupi tu

.
Good night
 
Back
Top Bottom