Mahusiano ya kimapenzi kati ya waalimu na wanafunzi,nani alaumiwe?

Mahusiano ya kimapenzi kati ya waalimu na wanafunzi,nani alaumiwe?

KALOKAGATHOS

Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
38
Reaction score
6
Katika shule moja huko ngara kagera mwalimu wa kike alimpenda mwanafunzi wake,yule jamaa(mwanafunzi) akagoma kumkubalia kisa mwalimu alikua kicheche,anaruka na masoja wa kambi ya pembezoni mwa shule,mwalimu akatafuta visa yule mwanafunzi akafukuzwa,katika kuandika barua ya kukiri kosa akaandika ukweli wa mambo.lakini bado akapewa adhabu ya kuchimba kisiki.baada ya kuona matukio yanazidi akamkubalia na hatimae akampachika mwalimu wake mimba.ukiachilia mbali mambo ya huko ngara,kuna shule moja ipo katikati ya jiji la mbeya,wanafunzi wa kike wa shule hii wanatabia ya kuwatongoza walimu,ukimkataa anakusemea kwa mkuu wa shule ili akuchafulie jina,ukimkubalia anatangaza darasani halafu ukiingia kufundisha wanakuamkia kwa kusema:"goodmorning shem?"...ukianza na mmoja anakuja na mwingine na wa tatu hadi wa nne pia.hali si shwari shuleni huko,ndoa za kidigitali zimeshamiri kila kona,ukibofya tu,unalo.mwalimu akimpa adhabu mwanafunzi ni kosa,eti mwanafunzi anajileta kwako,we mwalimu uko single,anakuja na kanga moja....
 
noumer sanaaaaa aiseee! Bt me naona msimamo hapo ndo unahitajika, bt kama ikishindkana ni kwenda kupima afya then unachakachua ili kuepusha utata kutoka kwa mwalimu/mwanafunz
 
Katika shule moja huko ngara kagera mwalimu wa kike alimpenda mwanafunzi wake,yule jamaa(mwanafunzi) akagoma kumkubalia kisa mwalimu alikua kicheche,anaruka na masoja wa kambi ya pembezoni mwa shule,mwalimu akatafuta visa yule mwanafunzi akafukuzwa,katika kuandika barua ya kukiri kosa akaandika ukweli wa mambo.lakini bado akapewa adhabu ya kuchimba kisiki.baada ya kuona matukio yanazidi akamkubalia na hatimae akampachika mwalimu wake mimba.ukiachilia mbali mambo ya huko ngara,kuna shule moja ipo katikati ya jiji la mbeya,wanafunzi wa kike wa shule hii wanatabia ya kuwatongoza walimu,ukimkataa anakusemea kwa mkuu wa shule ili akuchafulie jina,ukimkubalia anatangaza darasani halafu ukiingia kufundisha wanakuamkia kwa kusema:"goodmorning shem?"...ukianza na mmoja anakuja na mwingine na wa tatu hadi wa nne pia.hali si shwari shuleni huko,ndoa za kidigitali zimeshamiri kila kona,ukibofya tu,unalo.mwalimu akimpa adhabu mwanafunzi ni kosa,eti mwanafunzi anajileta kwako,we mwalimu uko single,anakuja na kanga moja....

Kumbe kazi ya ualimu inalipa?
 
katika shule moja huko ngara kagera mwalimu wa kike alimpenda mwanafunzi wake,yule jamaa(mwanafunzi) akagoma kumkubalia kisa mwalimu alikua kicheche,anaruka na masoja wa kambi ya pembezoni mwa shule,mwalimu akatafuta visa yule mwanafunzi akafukuzwa,katika kuandika barua ya kukiri kosa akaandika ukweli wa mambo.lakini bado akapewa adhabu ya kuchimba kisiki.baada ya kuona matukio yanazidi akamkubalia na hatimae akampachika mwalimu wake mimba.ukiachilia mbali mambo ya huko ngara,kuna shule moja ipo katikati ya jiji la mbeya,wanafunzi wa kike wa shule hii wanatabia ya kuwatongoza walimu,ukimkataa anakusemea kwa mkuu wa shule ili akuchafulie jina,ukimkubalia anatangaza darasani halafu ukiingia kufundisha wanakuamkia kwa kusema:"goodmorning shem?"...ukianza na mmoja anakuja na mwingine na wa tatu hadi wa nne pia.hali si shwari shuleni huko,ndoa za kidigitali zimeshamiri kila kona,ukibofya tu,unalo.mwalimu akimpa adhabu mwanafunzi ni kosa,eti mwanafunzi anajileta kwako,we mwalimu uko single,anakuja na kanga moja....

bahati mbaya sio mwalimu,ningewazungushaje hao madenti.....nakosa opportunity hizi jamani lahaullah
 
We mleta mada mi naona hyo title yako ubadilishe, hao unawazungumzia sio waalimu.

Mwl wa kweli yule anayefahamu ethics za ualimu. Hata siku moja mwl anayejitambua hawezi kufanya upuuzi kama huo ( mwl kutembea na mwanafunzi/mwanafunzi kutembea na mwl).

Tatizo ni kwamba siku hizi fani ya ualimu imevamiwa na "mapepo" wasiotambua nini maana na thamani ya ualimu. Hakuna tatizo, haya yote yanamwisho. Nawe mleta mada inaonekana upo kimbea zaidi, na hata ualimu hauujui wewe.
 
Katika shule moja huko ngara kagera mwalimu wa kike alimpenda mwanafunzi wake,yule jamaa(mwanafunzi) akagoma kumkubalia kisa mwalimu alikua kicheche,anaruka na masoja wa kambi ya pembezoni mwa shule,mwalimu akatafuta visa yule mwanafunzi akafukuzwa,katika kuandika barua ya kukiri kosa akaandika ukweli wa mambo.lakini bado akapewa adhabu ya kuchimba kisiki.baada ya kuona matukio yanazidi akamkubalia na hatimae akampachika mwalimu wake mimba.ukiachilia mbali mambo ya huko ngara,kuna shule moja ipo katikati ya jiji la mbeya,wanafunzi wa kike wa shule hii wanatabia ya kuwatongoza walimu,ukimkataa anakusemea kwa mkuu wa shule ili akuchafulie jina,ukimkubalia anatangaza darasani halafu ukiingia kufundisha wanakuamkia kwa kusema:"goodmorning shem?"...ukianza na mmoja anakuja na mwingine na wa tatu hadi wa nne pia.hali si shwari shuleni huko,ndoa za kidigitali zimeshamiri kila kona,ukibofya tu,unalo.mwalimu akimpa adhabu mwanafunzi ni kosa,eti mwanafunzi anajileta kwako,we mwalimu uko single,anakuja na kanga moja....

hapo kwnye damu ..nimechekaa hahahah
.Ni hatari aisee ukizingatia Mkoa wa Mbeya ndo unaongoza kwa maambukizi ya ukimwi , mi nilikuwa nimezoea zile za mateacher wa kiume kuwagegeda wasichana wa shule .Kumbe hadi walimu wa kike kugegedwa na wanafunzi nayo ishakuwa fashion sikuhizi, hii ni hatari zaidi ya majanga.
Sasa mwalimu wa kike akiwa anafundisha darasani yule jamaa ake aliyekaa kwenye dawati anaelewa kweli? mbona majanga.
 
Ngono ikitawala hisia, mtu unashindwa kujitawala. Kwa hali hii watoto wetu watakwisha kwa maambukizi ya magonjwa ya hajabu.
 
Hyo kweli kaka kipnd npo school (o'level) alikujag teacher 1( kike) alitoka UDOM yaan kXipnd chake lazima daras cku hyo ilikuwa inakuwa ndog coz alikuwa kimwali hatar, kwa bahat mbaya saana aliondoka bila ata kutuachia phone no..
Mwaka uliofuata akaja lisharobalo toka DUCE alikaa week moja tu akaanza kuwatongoza madada zetu, practical za chem kila cku walikuwa wanafanya ila tukienda midume tunaambiwa chemicals hazijafanyiwa standardization .. daah inauma sana mtu mkopo unapewa mpaka unamaliza university badala ya kufundsha mnang'ang'nia videmu na madent
 
Duh!? Kuwa Mwalimu ni MAJANGWA,majanga yanaunafuu!,ila kuwa Mwanafunzi ni matatizo matupu! tena kwa wale wanachuo ndo shida kabisa,eti Lecturer anakubebesha course kisa umemkatalia!? mbona taabu!, kuna Lecturer mmoja huku TEKU ni balaa! kama kwenye group lenu kuna demu wake mbona "A" zitawachosha?,sasa ole wenu wazinguane!,mbona mtachukia chuo!,Huko BAED ni majangwa matupu!,Lecturer mmoja,wanawake 7,akizunguka chuo kizima anawabeba kama 20 hivi,kama demu wako anafukuziwa na Lecturer bora umtafute Mwingine,huku chuo kikuu hata Mke wako anamegwa "live" na huongei kitu,ukikoroma tu,una-CARRY!!!,kuna binti mmoja alimgomea DVCAA,mbona amerudia mwaka?,chezea mwalimu weye!! KILA MMOJA AWAJIBIKE KINIDHAMU NA KWA MIPAKA.
 
me nimekutwa na hi kitu tena ktk shule moja kubwa sn hapa Tz
 
hapo kwnye damu ..nimechekaa hahahah.Ni hatari aisee ukizingatia Mkoa wa Mbeya ndo unaongoza kwa maambukizi ya ukimwi , mi nilikuwa nimezoea zile za mateacher wa kiume kuwagegeda wasichana wa shule .Kumbe hadi walimu wa kike kugegedwa na wanafunzi nayo ishakuwa fashion sikuhizi, hii ni hatari zaidi ya majanga.Sasa mwalimu wa kike akiwa anafundisha darasani yule jamaa ake aliyekaa kwenye dawati anaelewa kweli? mbona majanga.
Digital time, mwalim ana gegeda mwanafunzi na mwanafunzi ana gegeda mwalim.Malupulupu kwa wote.
 
Back
Top Bottom