Mahusiano ya kimapenzi na majuto ya huyu dada mrembo

Mahusiano ya kimapenzi na majuto ya huyu dada mrembo

Jinsi ulivyoanza ni kama vile mlizimikiana na sister kimapenzi lakini tena akaja bikra story ikawa imehama.
Kwa kifupi ni muandishi mzuri wa maudhui ila jizatiti katika kuboresha tamati 'climax' katika uandishi wako. Unaipa hadhira shauku kubwa ya kudhani kuna jambo litatokea lakini mwisho unamaliza kizembe.
 
Mleta uzi hii maneno yako si unge ipeleka gazetini tuu
 
Nilijua dada ndo anaelekea kibra alivyoanza kuleta madem wengine stori ikabadilika
 
Habari zenu

Nawasalimu na nawakumbusha tuache ngono zembe na tuoe/kuolewa

Kiufupi sana

Kwenye miaka ya 2016-2018 kulikuwa na shughuli home kutokana na hapo home kwetu ndio kulikuwa ni muhimili wa ukoo ikabidi shughuli ifanyike
Sijui hata umeandika nini?
 
Back
Top Bottom