😂[emoji1787]
The day-dreamer!Habari zenu
Sijui hata umeandika nini?Habari zenu
Nawasalimu na nawakumbusha tuache ngono zembe na tuoe/kuolewa
Kiufupi sana
Kwenye miaka ya 2016-2018 kulikuwa na shughuli home kutokana na hapo home kwetu ndio kulikuwa ni muhimili wa ukoo ikabidi shughuli ifanyike
Of course na wasomi tupo kama mimiManzese hivi kuna watu wanaakili