Wakuu salaam,
Nimejikuta nawaza laiti mahusiano tuliyonayo sasa au yalopita yangekua kitabu tungeyapa tittle gani?
Kwa upande wangu ningeyapa tittle zifuatazo
Yalopita: BOMU LA MACHOZI
Yasasa: THE HOME OF HAPPINESS
Je, kwa upande wako ungeyapa tittle gani?