Jamani naombeni ushauri, kuna mwanamke nampenda sana nae ananipenda sana tuliahidiana kuoana., Sasa kuna changamoto imejitokeza tena kubwa sana kumbe kabla yangu, aliunganishiwaga mwanaume mwingine na wazazi wake, nayeye kwakua alikua hana mtu mwingine alikubali.
Ikaendaa yule jamaa akakaa muda mrefu Sana bila kutangaza uchumba, yule mwanamke akakata tamaa ndio tukakutana natukaanzisha mahusiano tukaanza kupendana Sana, sasa mwezi uliopita jamaa ameibuka tena kaenda kwa wazazi na kwa mchungaji mwanamke amejaribu kukataa lakini kutokana na wazazi wake niwatata sana ameshindwa kukataa maana anadai wanamfosi kuolewa namtu ambae amesha mtoa moyoni wakati moyo wake upo kwangu, na uchumba unatangazwa jumapili hii.
Ameniambia anatangaza uchumba lakini kuolewa hataolewa yupo tayari kutoroka na mimi,, sasa nimejikuta napitia maumivu makali Sana maana nampenda sana naombeni ushauri wadau