Mahusiano ya kingono yanavyoanza kati ya Mwalimu na Mwanafunzi

Matanga

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2019
Posts
2,281
Reaction score
3,976
*JINSI MAZOEA YA MWALIMU NA MWANAFUNZI YANAVYOANZA*

Siku1
*STUDENT*: Hello sir, bila Shaka ni Sir Jonare?
*MWALIMU:* Ee Mimi hapa, naongea na nani?
*STUDENT*: Aaah angalau, unaongea na Veronica Saguda nimeomba namba yako kwa Yakobo
*MWALIMU:* Veronica, mwanafunzi wa form four au?
*STUDENT*: Ndiyo sir shikamoo
*MWALIMU*: Marahaba hujambo Vero
*STUDENT*: Sijambo sir, Sir kuna swali hili la saba ulilotupa homework silielewi unaweza kunisaidia linahitaji nini?
*MWALIMU:* Linasemaje?
*STUDENT* : Use law of symmetry to prove that turning point is equal to (b²–4ac)/2a
*MWALIMU*: (Anaelekeza vizuri hadi mwanafunzi anaelewa)
*STUDENT* : Ahsante sir jioni njema
*MWALIMU*: Nawe pia

Siku2
*STUDENT*: Hi Sir!
*MWALIMU :* Poa za uzima.
*STUDENT*:*Salama I miss you sir
*MWALIMU :* Likewise
*STUDENT:* Karibu kwetu Sir
*MWALIMU :* Ahsante

Siku3
*STUDENT:* Sir ulisema upo Kahama?
*MWALIMU:* Ee kwani vipi?
*STUDENT:* Mimi pia nipo kahama nimekuja kumsalimia Dada Yangu
*MWALIMU:* Haya karibu Kahama
*STUDENT:* Uko sehemu gani sir nije nikusalimie siku moja
*MWALIMU :*(..mmmh majaribu haya) mtaa wa Ihururu Mwembe Chai
*STUDENT :* Haaa! Mbona hata Mimi nipo hapa hapa Mwembe Chai
MWALIMU: Uko na Nani?
*STUDENT :* Mdogo wangu
*MWALIMU:* Haya njoni nyumba namba BD/312
*STUDENT:* (Akiwa peke yake na umbo la kubalehe huku konzi kifuani zimekaa attention sauti kali na harufu perfume anagonga mlango) Hodi Sir
Mwalimu anafungua mlango haamini kama yule ni mwanafunzi wake form four
*MWALIMU :* Duh! Hivi kumbe nyumbani mnakuwaga watu ee, mwenzako yuko wapi?
*STUDENT:* Amegoma nimemwacha!
*MWALIMU :* (anawaza amkaribishe na anaishi Peke yake au atoe kiti nje) haya karibu ndani
Mwanafunzi kwa makusudi anamwaooo mwalimu wake anayeishi peke yake. (Aah jamani taratibu Mbona mnaanza kuimagine)
*STUDENT:* Dah Sir unakaa Pazuri kweli hadi raha
*MWALIMU :* Ahsante
*STUDENT :* ( Anampenda mwalimu ila anamuogopa na hapo hajui afanyaje ili mwalimu ajue kuwa hana lolote kwake
Muda unapita saa zinasogea kidogo kidogo mazoea yanaanza masaa manne wote wapo kitandani wanaangalia TV
*STUDENT :* Sir Mimi nataka niende
*MWALIMU :* (Anaumia akimwangalia mwanafunzi wake yupo size ) Mbona mapema Sana
*STUDENT:* Kwani wewe unatakaje sir
*MWALIMU :* (Liwalo na liwe) "nakuuliza tu" huku uzalendo umemshinda na mkono anapitisha sehemu ya kifuani
*STUDENT :* Sir naogopa jamani
*MWALIMU :* Unaogopa nini?
*STUDENT :* Kwani unataka nini?
*MWALIMU :* (Anazidisha ujinga ndani Ya nusu saa wako katika dimbwi la mahaba mwalimu anakula mahindi Ya shule mwanafunzi naye anapapasa kifua kama hana akili na milio Ya kila namna

Mwanafunzi anarudi home na anaamua kumtembelea mwalimu wake kila mara na kila wakikutana CHUMA baada Ya mwezi kupita na wakiwa shuleni

BAADAYAMWEZI
*STUDENT :* (anatumia simu Ya Mtu) sir mwezi wa Tatu sijaona siku zangu by Vero

*MWALIMU :* WEWEEE acha utani bwana
Hajakaa sawa mschana anagundulika ana mimba pasipokuwa Na habari polisi wanamvamia ofsini

MAHAKAMANI
HAKIMU:Ushahidi umekamilika mahakama inakuhukumu miaka 30 jela iwe funzo kwa watu kama wewe

Mwalimu analia ovyo ovyo bila faraja
Mwanafunzi naye analia kwa kumkosa baba mtoto wake kijacho

*Onyo:*
*Ulaji wa mahindi ya shule ni hatari kwa usalama wako, Lima ya kwako ya shule waachie tumbili na kima [emoji23][emoji23][emoji23]*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noma sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa Mwalim Siyawezi Yaliyonikuta.
 
Hii stori kama ilivyo ilitokea shule ya Kayuki girls iliyopo tukuyu mkoani mbeya. Mwalimu alikula mahindi ya shule siku ya watoto kufunga shule.

Dogo alivyopewa ruhusu ya kurudi home Dar, sasa kuna ile unaenda kukata tiketi ili asubuh ndo uondoke na bus. Basi dogo akaenda kulala home kwa ticha na mahindi yakaliwa vya kutosha.

Alivyorudi likizo ndo balaa likafumuka, ana ujauzito!

Kama ticha Lugano bado yuko jela basi huu utakuwa ni mwaka wake wa 7.

Hawa watoto pitia mbali, hata lifti hawapaswi kupewa.
 
Ukigusa tu imooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…