Mahusiano ya mbali ni aina nyingine ya utapeli

Mahusiano ya mbali ni aina nyingine ya utapeli

Zero Competition

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
347
Reaction score
553
Mahusiano mazuri ya kimapenzi ni yale ambayo wote wawili kwa maana ya mwanamke na mwanaume mpo mkoa mmoja hivyo ni rahisi kuonana.

Pindi mmoja wenu anapokua mkoa mwingine mfano wewe mwanaume upo Dar na mpenzi wako yupo Kigoma tayari mahusiano hayo yataanza kupoteza mvuto.

Mara nyingi kwenye mahusiano ya mbali anaefaidika zaidi ni mwanamke sababu yeye ataendelea kukuita baby, honey, laaziz, mahabuba na majina mengine mengi ya kimahaba ili tu kukulainisha na kukupumbaza usisitishe huduma za kifedha kwake.

Just imagine upo kwenye mahusiano na mwanamke lakini zaidi ya mwaka au miaka miwili hamuonani au kukutana badala yake mnaishia tu kupigiana simu au kutumiana ujumbe.

Kibaya zaidi kama mlishawahi kukutana kimwili mara kwa mara basi itakua ngumu kwa mwenzi wako kuvumilia hali ya kutokutana kimwili na mtu mwingine ambae yupo nae mkoa mmoja.

Mara nyingi wanufaika wakubwa kwenye mahusiano ya namna hii ni wanawake mana yeye atakuomba tu hela kila anapokua na shida zake lakini wewe mbususu yake huipati.

Niliwahi kuwa kwenye mahusiano ya namna hii mwisho wa siku nikaona huu ni ufala nikapiga chini yule mwanamke mana niliona kabisa hawezi kuvishinda vishawishi na kuwa na uvumilivu hivyo nikaona kwenye mahusiano kama haya ni rahisi kupata magonjwa mana hujui mtu anachakatwa mbusus kiasi gani lakini wewe kazi yako kutuma tu pesa tena pesa hizo hizo unazotuma ukute anahongwa mwanaume mwenzio.Lakini pia kuna kipindi sikukutana nae kama miezi 7 hivi sasa siku nilipokutana nae kisha nikarudi Dar kumbe nilienda kuuzoa ugonjwa mana baada ya kurudi Dar kama wiki moja baadae nikaanza kuhisi nawashwa kwenye njia ya mkojo na kujikuna siwezi nabaki kufikichafikicha tu ngozi ya uume ili muwasho upungue mana ni muwasho wa kudhalilisha hasa ukiwa mbele za watu, baada ya kutumia dawa na kupona nikaona haya mahusiano sio salama kwangu bora nimpotezee yule mwanamke mana atakuja kuniua kwa magonjwa na huo ndo ukawa mwisho wa mimi na yeye mana hakua mke wa ndoa.

Je wewe mdau wa JF ushawahi kuwa kwenye mahusiano ya mbali (Long distance relationship) na ukaamua kuachana nayo baada ya kutafakari kwa kina ?
 
Nipo kwenye aina hiyo ya mahusiano, mara ya mwisho kukutana naye ilikua January, kwanza nlikuta K imeongezeka ukubwa na vibe limepungua, nimeendelea naye mpaka sasa lakini nimesha loose interest kabisa na mara kadhaa nimemuambia tuachane ila anaforce kuendelea, naona kabisa niko kwenye hatari
 
Back
Top Bottom