Mahusiano ya mtandaoni

Nimeandika tu kuchangamsha genge.but hata mie sijui kuomba hela.nazunguka sana ndo niende direct
Basi mtu kama wewe usije ukajaribu kuwa na mtu kama mimi πŸ˜‚πŸ˜‚..Huombi hela? Na mimi sijigusi hataa ....utanuna mpaka unipige kibuti mwenyewe πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kwakweli ni Mungu tu

Hongera sana mrembo kwa kubahatika
 
Pole sana

Hujajaribu kumcheki fb?
 
Maweee mbona ghafla mi nikaona kama movie ndio ilikuwa inaelekea kutamu
Muendelezo nimejibu kwa comments, maisha yetu as couple, vitu amefanya as a man, vitu nilifanya pia..we had such beautiful moments ila hazikudumu sana

Kuna fact ya msingi ya yeye kua kwa ndoa hakuongea mwanzo, nilipokuja kufahamu na nikawa meshajiweka sana, iliniumiza....like breakthrough ilianzia hapo..

Ila meelezea pia alifanya vitu vingi positive kwa mda mfupi sana, kwaio anabaki kua among top 3 kwa wale X nawapaga salute na kuwaombea mema daima,
I salute you broo!
 
Kwahiyo we bado bado unakula maisha kuuπŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…