Wapo watu wanataka wenye 70 years...ila bibi si yupo jamani[emoji28][emoji28][emoji28]Baada ya kusoma visa vingi humu nimegundua Vijana mmerahisishiwa sana maisha ya mahusiano na TEHAMA.
Ukiwa serious, unaweza kupata Mke au Mume humu humu mitandaoni, muhimu mjue lengo la mahusiano yenu ni yapi.
Kuna wakati hadi natamani Umri ungerudi nyuma kidogo walau namimi nijaribu kutupia Vocal huko PM walau nipate cha kuhadithia, lakini kwa umri huu wa miaka 78 Mdada gani atakubali kukutana na Mzee wa Umri wangu, Mvi za kutosha kichwani, Sura ina makunyazi, na hii miwani yangu mikubwa ya macho jamani si atasema namtisha [emoji2957]
Kuna nini auntie!
hahahaMNIGERIA
Here we go [emoji3059].Basi hekaheka za dating app zinaendelea siku moja pitapita zangu hapa na pale nikamatch na mnigeria huyo picha alikua mtu wa maana bonge la bwana kala kaunda sut nini hapo magari makali simu kali we nikasema mambo yangu haya hapa pesa ipo Ntaomba tu ngoja nimpee time
basi bwana nikamacth na myoruba tukachat tukaamia watsapp bas story za hapa na pale nin na mim binasfi huwa sidili na wanaoanza na neno hookup ninatype yangu naitaka wakaka wastarabu nikitupa jiwe lzima limpate najifanya malkia sina shida kumbe [emoji1787][emoji1787]
Basi katika kuchat na myoruba akanisihi sana niende kwake kwakua hakutangaza ngono maana yake ni just meeting tule na kupiga story
Shoga enu sasa nikavaa verewere nikapendeza nikarzquest bolt huyo mpka upanga hapo fika pale eeeh ss mnigeria huyu mbona anakaa studio apartment kama kawaida yangu aaah atajua mwenyewe mie ngoja nikamuone
Nikampigia hlw nimefika akasema panda lift mpka floor flan jamn nilipanda lift hapo kuna tuwatu twa maana nikafika juu nikamkuta mniger wangu kafungua mlango ananisybiri koridoni
mtume roho yangu jamani kumuona hivi yule baba ni anamwili mkubwa sijawahi ona live yan yeye ndo wa kwanza kumuonakwa macho ya nyama nje ya Tv
Baba ni mrefu mpana kama mpana tena yani me shoga enu ni mrefu na ninakimwili kati lkn kwa yule baba nilikua mtoto wa form 1 D sasa nilihis joto huku na mfuata the guy alikua anaguna kama waganga wanigeria wa kwenye movie like mmmmh mmmh mmh yan nikama ana apricciate mali safi imekuja
akanikalibisha ndani uwii natetemeka mpaka meno yagongana akasema areyou okay ama nizime AC yan nilikua sielewi sasa natapatapa akiguna ule mguno wake mim nastuka[emoji23]
Yule baba akaenda kukaa kwenye kiti akanigeukia akaniuliza vip hujanipenda
Nikajibu no kwann unasema hivo akasema nakuona umepoa sana mim ni mtu mzuri ty kuwa na amani dear kidogo tena akaguna mmmmmh mmmh fine girls fine girl kama chief onkwonkwo Huku ananitazama analiza umri wangu na mambo mengine
najichekesha tu nimekua mdogo namuogopa yan anamwili mkubwa hakuna aiseee sauti kubwa niliwaza nisipotilewa figo leo sjui na ilikua mara yakwanza n mwisho kuingia ndani kwa mtu maana nilizoea outdoors tu nukaona nimuulize dear honestly wew na picha ni tofauti yani your too big hahaa nakichekesha
Alcheka kicheko kikali we mim nikabinya macho sauti nzito eti kwel kwahiyo hapa me mkubwa
Nikitupa jicho mkono wake jaman kiganja ni mikon yangu mitatu mguu wake khaa yule ni gient
Basi akanipa story za hapa na pale kwanza hata nilikua sizielewi nawaza tu niombe hela nisepe zangu akadai yeye ni pasta sijui nin hapo akanifundisha kumtegemea Mungu akanipa mifano yake alimuamini Mungu na alimuona na vifungu vya biblia akanisimulia yy alikuja bongo akawekeza katilka hizi microfinace na mwisho watz kulipa ikawa mtihaani kwahiyo amefilisika mnoo
Akasema hapa nilipo nina elfu 50 tu nimepewa na rafiki angu yani hiyo kauli ndo aliharibu kabisa na mood ya story ilikata me sipendi poteza muda afu umeniita chumban kwamba uniombe kipochi manyoya na hiyo 50 yako unaleta janja janja za nyani huli kitu hapa nilimtathimin moyoni sijawahi kuliwa bure kizembe huyu mniger analeta janja huyu we ngoja
Nikawa tu humble huku nikiwaza hiyo elfu 50 tutagawana ip mimi nayy[emoji23][emoji23][emoji23] shoga enu nina tamaaa mnisamehe tu na poleni me nilivomuona nilijua tutaonana ni getlemen tupige story nimuombe tupite super market nifanye shopping maana ni mbaba si unajua wababa waelewa kumbe nae njaa tu yan ananipa story yake me mwenyewe nina magumu kibao wazazi sina naelewa basi naishi kwa akili nishalala njaa sana nishalala chini natandika nguo nishapenda sana nikatendwa,nishakataliwa nikasemewa uongo,nishakaa kwa marafiki nikafukuzwa,nishatembeza uji,nimesoma sina kazi mambo mengi nimelia sshiv nimezoea nimetoboa nisababu niliamuakuwa jasiri natumia tu akili na kujituma na Mungu nimetoboa yy ananisimulia vitu naona vidogo afu kama anaipotezea muda hata msosi haitishi
hivi huyu anasimulia shida zake tu hapa mwili mkubwa hivo anashindwa kubeba mambo kama hayo me nimsaidie nin sasa ninshida zangu kibao nawaza huku natazama guu lake la futi 7 limepauka hatari halina futa afu ananiitaje hana hela hata kama ni story kwanza sijala story sielew ye mwenyewe anatisha anatishia tu hapa
Yule baba akasimama akaja kitandani kwanza alinipa korosh zinapili pili ya dunia nikashindwa na urafi wangu akanipa juice kisha akaja kukaa kitandan pembeni yangu maana studio apertment ni chumba kimoja kina choo na sehem ya kupikia
Basi alipokaa kitanda kikalalamika kakakaka we nikainuka najichekesha eeh nilijua chadondoka hivo akacheka wala kaa tu nikashusha pumzi nikameza mate eeh huyu nimuagaje mm sitaki kukaa hapa mm
Najiyliza mbona kanifuata jamani tena huyu baba me mtoto wa binadam mwenzie anataka nini na huo mwili kama sio kuniua mimi jaman
Akasema my dear last time umefanya check up ni lin nikasema juzi shoga enu sasa [emoji23][emoji23] sijawahi hata kupima na sina mpango etu naomba tupime tena
We nikamwambia baba pima mwenyewe kama unataka kujua afya yako unipimishe na mimi kwn unataka tufanye nin kupima ni hiali tu kashasema [emoji1787][emoji1787] anavotisha mweusi hatari sauti kama radi
Nikagoma akasimama kufuata vipimo moyo uliniruka mm jaman nilipiga hesabu nikimbie nikazungusha macho naona anaviatu pea 3 kama vya tandale vya 200 ukiwa saa 10 asubuhi [emoji23][emoji23] nyie yan sikuona cha maana anachomiliki
Wakati namchunguza mara paa kaja na vipimo me nikaendelea kugoma kwamba sitaki jamn hakuongea kitu alinikamata mkono akanivuta relax akanitoboa chwaa ewii[emoji15][emoji15]
Missy Gf Just Nana
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]uliingia cha kike shogaangu ila waniger ni matapeli wa Dunia
hahaha
CHAI
Bora hao wenye 70 ni afadhali, sasa Mimi mwenye 78 si kituko, maana hatupigi hatua 10 bila kutumia mkongojo 😜Wapo watu wanataka wenye 70 years...ila bibi si yupo jamani[emoji28][emoji28][emoji28]
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Umeshtuka na nini Mjukuu? 😜
Ungetulia tu na bibi eti hawa vijana watakupa stress za uzeeniBora hao wenye 70 ni afadhali, sasa Mimi mwenye 78 si kituko, maana hatupigi hatua 10 bila kutumia mkongojo [emoji12]
Bibi yenu yupo ila nilitaka kupata cha kuhadithia Uzeeni [emoji2957][emoji2957]
Acha urongo[emoji28][emoji28][emoji28]Wewe najua umepishana na gari la mshahara, huyo mnigeria ni kama mimi tu alikuwa anaku text na umefail mbaya, hilo lilikuwa tajiri na mapesa yake, alikupima jinsi vile utampokea kama hana kitu, lkn hukumuelewa, ni kama mimi hivi na mapesa yangu nabaki nayo kwa sababu umenitajia hela ya vocha, nikajua hapa nitapigwa na kitu kizito[emoji24][emoji24][emoji24]
Hata sasa endelea[emoji2223][emoji2223][emoji2223]View attachment 2707263
Jamani jamaniii...MNIGERIA
Here we go [emoji3059].Basi hekaheka za dating app zinaendelea siku moja pitapita zangu hapa na pale nikamatch na mnigeria huyo picha alikua mtu wa maana bonge la bwana kala kaunda sut nini hapo magari makali simu kali we nikasema mambo yangu haya hapa pesa ipo Ntaomba tu ngoja nimpee time
basi bwana nikamacth na myoruba tukachat tukaamia watsapp bas story za hapa na pale nin na mim binasfi huwa sidili na wanaoanza na neno hookup ninatype yangu naitaka wakaka wastarabu nikitupa jiwe lzima limpate najifanya malkia sina shida kumbe [emoji1787][emoji1787]
Basi katika kuchat na myoruba akanisihi sana niende kwake kwakua hakutangaza ngono maana yake ni just meeting tule na kupiga story
Shoga enu sasa nikavaa verewere nikapendeza nikarzquest bolt huyo mpka upanga hapo fika pale eeeh ss mnigeria huyu mbona anakaa studio apartment kama kawaida yangu aaah atajua mwenyewe mie ngoja nikamuone
Nikampigia hlw nimefika akasema panda lift mpka floor flan jamn nilipanda lift hapo kuna tuwatu twa maana nikafika juu nikamkuta mniger wangu kafungua mlango ananisybiri koridoni
mtume roho yangu jamani kumuona hivi yule baba ni anamwili mkubwa sijawahi ona live yan yeye ndo wa kwanza kumuonakwa macho ya nyama nje ya Tv
Baba ni mrefu mpana kama mpana tena yani me shoga enu ni mrefu na ninakimwili kati lkn kwa yule baba nilikua mtoto wa form 1 D sasa nilihis joto huku na mfuata the guy alikua anaguna kama waganga wanigeria wa kwenye movie like mmmmh mmmh mmh yan nikama ana apricciate mali safi imekuja
akanikalibisha ndani uwii natetemeka mpaka meno yagongana akasema areyou okay ama nizime AC yan nilikua sielewi sasa natapatapa akiguna ule mguno wake mim nastuka[emoji23]
Yule baba akaenda kukaa kwenye kiti akanigeukia akaniuliza vip hujanipenda
Nikajibu no kwann unasema hivo akasema nakuona umepoa sana mim ni mtu mzuri ty kuwa na amani dear kidogo tena akaguna mmmmmh mmmh fine girls fine girl kama chief onkwonkwo Huku ananitazama analiza umri wangu na mambo mengine
najichekesha tu nimekua mdogo namuogopa yan anamwili mkubwa hakuna aiseee sauti kubwa niliwaza nisipotilewa figo leo sjui na ilikua mara yakwanza n mwisho kuingia ndani kwa mtu maana nilizoea outdoors tu nukaona nimuulize dear honestly wew na picha ni tofauti yani your too big hahaa nakichekesha
Alcheka kicheko kikali we mim nikabinya macho sauti nzito eti kwel kwahiyo hapa me mkubwa
Nikitupa jicho mkono wake jaman kiganja ni mikon yangu mitatu mguu wake khaa yule ni gient
Basi akanipa story za hapa na pale kwanza hata nilikua sizielewi nawaza tu niombe hela nisepe zangu akadai yeye ni pasta sijui nin hapo akanifundisha kumtegemea Mungu akanipa mifano yake alimuamini Mungu na alimuona na vifungu vya biblia akanisimulia yy alikuja bongo akawekeza katilka hizi microfinace na mwisho watz kulipa ikawa mtihaani kwahiyo amefilisika mnoo
Akasema hapa nilipo nina elfu 50 tu nimepewa na rafiki angu yani hiyo kauli ndo aliharibu kabisa na mood ya story ilikata me sipendi poteza muda afu umeniita chumban kwamba uniombe kipochi manyoya na hiyo 50 yako unaleta janja janja za nyani huli kitu hapa nilimtathimin moyoni sijawahi kuliwa bure kizembe huyu mniger analeta janja huyu we ngoja
Nikawa tu humble huku nikiwaza hiyo elfu 50 tutagawana ip mimi nayy[emoji23][emoji23][emoji23] shoga enu nina tamaaa mnisamehe tu na poleni me nilivomuona nilijua tutaonana ni getlemen tupige story nimuombe tupite super market nifanye shopping maana ni mbaba si unajua wababa waelewa kumbe nae njaa tu yan ananipa story yake me mwenyewe nina magumu kibao wazazi sina naelewa basi naishi kwa akili nishalala njaa sana nishalala chini natandika nguo nishapenda sana nikatendwa,nishakataliwa nikasemewa uongo,nishakaa kwa marafiki nikafukuzwa,nishatembeza uji,nimesoma sina kazi mambo mengi nimelia sshiv nimezoea nimetoboa nisababu niliamuakuwa jasiri natumia tu akili na kujituma na Mungu nimetoboa yy ananisimulia vitu naona vidogo afu kama anaipotezea muda hata msosi haitishi
hivi huyu anasimulia shida zake tu hapa mwili mkubwa hivo anashindwa kubeba mambo kama hayo me nimsaidie nin sasa ninshida zangu kibao nawaza huku natazama guu lake la futi 7 limepauka hatari halina futa afu ananiitaje hana hela hata kama ni story kwanza sijala story sielew ye mwenyewe anatisha anatishia tu hapa
Yule baba akasimama akaja kitandani kwanza alinipa korosh zinapili pili ya dunia nikashindwa na urafi wangu akanipa juice kisha akaja kukaa kitandan pembeni yangu maana studio apertment ni chumba kimoja kina choo na sehem ya kupikia
Basi alipokaa kitanda kikalalamika kakakaka we nikainuka najichekesha eeh nilijua chadondoka hivo akacheka wala kaa tu nikashusha pumzi nikameza mate eeh huyu nimuagaje mm sitaki kukaa hapa mm
Najiyliza mbona kanifuata jamani tena huyu baba me mtoto wa binadam mwenzie anataka nini na huo mwili kama sio kuniua mimi jaman
Akasema my dear last time umefanya check up ni lin nikasema juzi shoga enu sasa [emoji23][emoji23] sijawahi hata kupima na sina mpango etu naomba tupime tena
We nikamwambia baba pima mwenyewe kama unataka kujua afya yako unipimishe na mimi kwn unataka tufanye nin kupima ni hiali tu kashasema [emoji1787][emoji1787] anavotisha mweusi hatari sauti kama radi
Nikagoma akasimama kufuata vipimo moyo uliniruka mm jaman nilipiga hesabu nikimbie nikazungusha macho naona anaviatu pea 3 kama vya tandale vya 200 ukiwa saa 10 asubuhi [emoji23][emoji23] nyie yan sikuona cha maana anachomiliki
Wakati namchunguza mara paa kaja na vipimo me nikaendelea kugoma kwamba sitaki jamn hakuongea kitu alinikamata mkono akanivuta relax akanitoboa chwaa ewii[emoji15][emoji15]
Missy Gf Just Nana
Wewe najua umepishana na gari la mshahara, huyo mnigeria ni kama mimi tu alikuwa anaku text na umefail mbaya, hilo lilikuwa tajiri na mapesa yake, alikupima jinsi vile utampokea kama hana kitu, lkn hukumuelewa, ni kama mimi hivi na mapesa yangu nabaki nayo kwa sababu umenitajia hela ya vocha, nikajua hapa nitapigwa na kitu kizito[emoji24][emoji24][emoji24]
Hata sasa endelea[emoji2223][emoji2223][emoji2223]View attachment 2707263
Nimefurahi kupata ushauri huu kutoka kwa Binti mdogo wa umri wako, hii inaonesha Wazee wenu tumefanya kazi kubwa ya malezi 🤗Ungetulia tu na bibi eti hawa vijana watakupa stress za uzeeni
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo bado mnatambaa na ukali?Umenigusa, ngoja niweke shuhuda. Mm nlicomment page fulan ambapo mtu alkua anatafuta mke. Kaweka kigezo asiwe kibonge. Basi nikacomment akitokea anayetaka vibonge mnishtue. Watu wakalike wakacheka palee. Nakuta dm asalaam aleykum ndo nmekuja. Nkaulza wap mana kama wiki imepta skumbuk ni about post. Akasema si ulisema wanaotaka vibonge waje ndo nmekuja. Nkachukulia masihara nkamwambia asinitanie nkawaza kaz yake m na watu wanaojulikana wap na wap. Nkahisi atakua mtu wa club etc loh asalalee. Thank God nlimpa namba. Chat sana sku tunaonana nlkua na butterflies tumbon balaa sijiamin. Aliponikiss uwii[emoji39] best kisser. Kama aliona hofu yang ilichukua mwez ndo akala tunda. He is so caring. Sijawah pendwa vile toka nazaliwa. Mapepe yote nimeacha. Mungu alinde penzi letu inshallah. Asante insta
Together foreverKwahiyo bado mnatambaa na ukali?
Endelea bana[emoji28]MNIGERIA
Here we go [emoji3059].Basi hekaheka za dating app zinaendelea siku moja pitapita zangu hapa na pale nikamatch na mnigeria huyo picha alikua mtu wa maana bonge la bwana kala kaunda sut nini hapo magari makali simu kali we nikasema mambo yangu haya hapa pesa ipo Ntaomba tu ngoja nimpee time
basi bwana nikamacth na myoruba tukachat tukaamia watsapp bas story za hapa na pale nin na mim binasfi huwa sidili na wanaoanza na neno hookup ninatype yangu naitaka wakaka wastarabu nikitupa jiwe lzima limpate najifanya malkia sina shida kumbe [emoji1787][emoji1787]
Basi katika kuchat na myoruba akanisihi sana niende kwake kwakua hakutangaza ngono maana yake ni just meeting tule na kupiga story
Shoga enu sasa nikavaa verewere nikapendeza nikarzquest bolt huyo mpka upanga hapo fika pale eeeh ss mnigeria huyu mbona anakaa studio apartment kama kawaida yangu aaah atajua mwenyewe mie ngoja nikamuone
Nikampigia hlw nimefika akasema panda lift mpka floor flan jamn nilipanda lift hapo kuna tuwatu twa maana nikafika juu nikamkuta mniger wangu kafungua mlango ananisybiri koridoni
mtume roho yangu jamani kumuona hivi yule baba ni anamwili mkubwa sijawahi ona live yan yeye ndo wa kwanza kumuonakwa macho ya nyama nje ya Tv
Baba ni mrefu mpana kama mpana tena yani me shoga enu ni mrefu na ninakimwili kati lkn kwa yule baba nilikua mtoto wa form 1 D sasa nilihis joto huku na mfuata the guy alikua anaguna kama waganga wanigeria wa kwenye movie like mmmmh mmmh mmh yan nikama ana apricciate mali safi imekuja
akanikalibisha ndani uwii natetemeka mpaka meno yagongana akasema areyou okay ama nizime AC yan nilikua sielewi sasa natapatapa akiguna ule mguno wake mim nastuka[emoji23]
Yule baba akaenda kukaa kwenye kiti akanigeukia akaniuliza vip hujanipenda
Nikajibu no kwann unasema hivo akasema nakuona umepoa sana mim ni mtu mzuri ty kuwa na amani dear kidogo tena akaguna mmmmmh mmmh fine girls fine girl kama chief onkwonkwo Huku ananitazama analiza umri wangu na mambo mengine
najichekesha tu nimekua mdogo namuogopa yan anamwili mkubwa hakuna aiseee sauti kubwa niliwaza nisipotilewa figo leo sjui na ilikua mara yakwanza n mwisho kuingia ndani kwa mtu maana nilizoea outdoors tu nukaona nimuulize dear honestly wew na picha ni tofauti yani your too big hahaa nakichekesha
Alcheka kicheko kikali we mim nikabinya macho sauti nzito eti kwel kwahiyo hapa me mkubwa
Nikitupa jicho mkono wake jaman kiganja ni mikon yangu mitatu mguu wake khaa yule ni gient
Basi akanipa story za hapa na pale kwanza hata nilikua sizielewi nawaza tu niombe hela nisepe zangu akadai yeye ni pasta sijui nin hapo akanifundisha kumtegemea Mungu akanipa mifano yake alimuamini Mungu na alimuona na vifungu vya biblia akanisimulia yy alikuja bongo akawekeza katilka hizi microfinace na mwisho watz kulipa ikawa mtihaani kwahiyo amefilisika mnoo
Akasema hapa nilipo nina elfu 50 tu nimepewa na rafiki angu yani hiyo kauli ndo aliharibu kabisa na mood ya story ilikata me sipendi poteza muda afu umeniita chumban kwamba uniombe kipochi manyoya na hiyo 50 yako unaleta janja janja za nyani huli kitu hapa nilimtathimin moyoni sijawahi kuliwa bure kizembe huyu mniger analeta janja huyu we ngoja
Nikawa tu humble huku nikiwaza hiyo elfu 50 tutagawana ip mimi nayy[emoji23][emoji23][emoji23] shoga enu nina tamaaa mnisamehe tu na poleni me nilivomuona nilijua tutaonana ni getlemen tupige story nimuombe tupite super market nifanye shopping maana ni mbaba si unajua wababa waelewa kumbe nae njaa tu yan ananipa story yake me mwenyewe nina magumu kibao wazazi sina naelewa basi naishi kwa akili nishalala njaa sana nishalala chini natandika nguo nishapenda sana nikatendwa,nishakataliwa nikasemewa uongo,nishakaa kwa marafiki nikafukuzwa,nishatembeza uji,nimesoma sina kazi mambo mengi nimelia sshiv nimezoea nimetoboa nisababu niliamuakuwa jasiri natumia tu akili na kujituma na Mungu nimetoboa yy ananisimulia vitu naona vidogo afu kama anaipotezea muda hata msosi haitishi
hivi huyu anasimulia shida zake tu hapa mwili mkubwa hivo anashindwa kubeba mambo kama hayo me nimsaidie nin sasa ninshida zangu kibao nawaza huku natazama guu lake la futi 7 limepauka hatari halina futa afu ananiitaje hana hela hata kama ni story kwanza sijala story sielew ye mwenyewe anatisha anatishia tu hapa
Yule baba akasimama akaja kitandani kwanza alinipa korosh zinapili pili ya dunia nikashindwa na urafi wangu akanipa juice kisha akaja kukaa kitandan pembeni yangu maana studio apertment ni chumba kimoja kina choo na sehem ya kupikia
Basi alipokaa kitanda kikalalamika kakakaka we nikainuka najichekesha eeh nilijua chadondoka hivo akacheka wala kaa tu nikashusha pumzi nikameza mate eeh huyu nimuagaje mm sitaki kukaa hapa mm
Najiyliza mbona kanifuata jamani tena huyu baba me mtoto wa binadam mwenzie anataka nini na huo mwili kama sio kuniua mimi jaman
Akasema my dear last time umefanya check up ni lin nikasema juzi shoga enu sasa [emoji23][emoji23] sijawahi hata kupima na sina mpango etu naomba tupime tena
We nikamwambia baba pima mwenyewe kama unataka kujua afya yako unipimishe na mimi kwn unataka tufanye nin kupima ni hiali tu kashasema [emoji1787][emoji1787] anavotisha mweusi hatari sauti kama radi
Nikagoma akasimama kufuata vipimo moyo uliniruka mm jaman nilipiga hesabu nikimbie nikazungusha macho naona anaviatu pea 3 kama vya tandale vya 200 ukiwa saa 10 asubuhi [emoji23][emoji23] nyie yan sikuona cha maana anachomiliki
Wakati namchunguza mara paa kaja na vipimo me nikaendelea kugoma kwamba sitaki jamn hakuongea kitu alinikamata mkono akanivuta relax akanitoboa chwaa ewii[emoji15][emoji15]
Missy Gf Just Nana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimechekaa,haya malizia basi shougaMNIGERIA

Endelea bana[emoji28]
Ikawaje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimechekaa,haya malizia basi shouga