Mahusiano ya mtandaoni

Daah, marafiki.com ...??? Na enzi za kuchata Yahoo messenger... !

Nazikumbuka hizo enzi vizuri sana umenikumbusha mbali enzi hizo ni kuhangaika kwenye ma internet cafè...tu!
 
Wala tusiende mbali mama.... Me nipo kwaajili yako. Ila tu angalizo siku ya meeting usivae vile visendo vya manyoya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] vile visendo miyeyushoo sanaa, nkionaga dem kavivaa namwona kituko kwel
 

Naondoka na hili ""jamaa anakomaa kinoma noma, miamala ikaanza kutumwa (mwanaume akifika hiki kipengele nakuaga nishampitisha kwa asilimia karibia 85)""

Leejay49 waambie kaka zako watafute helaaa.

#YNWA
 
Inaendelea
 
Hukutuma real picha
 
Hahahahhaa....jamaniiii
 
Mimi hapa jf wapo watu kama 3 huwa tunawasiliana mpaka na no tumebadilishana lkn mpaka leo hatujawahi kuonana,yupo mmoja nadhan amebadili I'd wakati tumeanza kuwasiliana alikua mkoa tofauti na nilipo but baada ya kurudi mkoa ninaoishi huwezi kuamini sijawahi kuonana,
 
Nawapenda sana watu wakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…