Mahusiano ya muda mrefu yanachochea mapenzi kuisha?

Mahusiano ya muda mrefu yanachochea mapenzi kuisha?

mr_stev001

Senior Member
Joined
Feb 4, 2023
Posts
159
Reaction score
220
Kuna ukweli kwamba kudumu na mchumba kwa muda mrefu kuna fanya mapenzi yaishe?✍🏼✍🏼
 
Kama unaupendo kwa kwel kitakachoisha ni tamaa tu ila upendo kamwe hautaisha.
 
hapana mapenzi hayawezi kuisha kama una upendo wa kweli
 
Back
Top Bottom