mr_stev001 Senior Member Joined Feb 4, 2023 Posts 159 Reaction score 220 Mar 11, 2023 #1 Kuna ukweli kwamba kudumu na mchumba kwa muda mrefu kuna fanya mapenzi yaishe?βπΌβπΌ
Infinite_Kiumeni JF-Expert Member Joined Jan 23, 2023 Posts 382 Reaction score 687 Mar 14, 2023 #2 mr_stev001 said: Kuna ukweli kwamba kudumu na mchumba kwa muda mrefu kuna fanya mapenzi yaishe?βπΌβπΌ Click to expand... Hapana. Ni maamuzi tu.
mr_stev001 said: Kuna ukweli kwamba kudumu na mchumba kwa muda mrefu kuna fanya mapenzi yaishe?βπΌβπΌ Click to expand... Hapana. Ni maamuzi tu.
Vesuvius JF-Expert Member Joined Jun 27, 2021 Posts 2,478 Reaction score 5,102 Mar 14, 2023 #3 mr_stev001 said: Kuna ukweli kwamba kudumu na mchumba kwa muda mrefu kuna fanya mapenzi yaishe?βπΌβπΌ Click to expand... Kwa hiyo walio oana wao mapenzi ndio yameisha kabisaaa?
mr_stev001 said: Kuna ukweli kwamba kudumu na mchumba kwa muda mrefu kuna fanya mapenzi yaishe?βπΌβπΌ Click to expand... Kwa hiyo walio oana wao mapenzi ndio yameisha kabisaaa?
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Mar 14, 2023 #4 Kama unaupendo kwa kwel kitakachoisha ni tamaa tu ila upendo kamwe hautaisha.
Step by step JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 1,164 Reaction score 1,293 Mar 14, 2023 #5 Follow this link to join my WhatsApp group: MALEZI NDOA NA MAHUSIANO Karibu tujadili mambo yote yanayohusu ndoa na malezi. Maswali yote yatajibiwa na mada zinafundishwa
Follow this link to join my WhatsApp group: MALEZI NDOA NA MAHUSIANO Karibu tujadili mambo yote yanayohusu ndoa na malezi. Maswali yote yatajibiwa na mada zinafundishwa
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 16,388 Reaction score 51,970 Mar 14, 2023 #6 hapana mapenzi hayawezi kuisha kama una upendo wa kweli