Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kwa kuwa mfumo wa uzazi upo karibu na nyonga ndio maana...Za jion wana jf, polen na majukumu ya kutwa nzima.
Naomba kuuliza, kuna uhusiano gani kati ya maumivu ya nyonga na ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa?
Pili naomba kujuzwa je, majimaji meupe kama maziwa ukeni (yasiyonuka) yana madhara gan?
Hivi hili wahenga hawakuliweka kwenye misemo yaoMi najiuliza uhusiano wa kuanguka kitovu na uhanithi
Wahenga waongo Sana eti haraka haraka haina Baraka HALAFU chelewa chelewa utakuta Mwana si wakoHivi hili wahenga hawakuliweka kwenye misemo yao
NAKUMBUSHIA OMBI LANGU TAFADHALI MWENYE KUJUA ANIJUZEZa jion wana jf, polen na majukumu ya kutwa nzima.
Naomba kuuliza, kuna uhusiano gani kati ya maumivu ya nyonga na ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa?
Pili naomba kujuzwa je, majimaji meupe kama maziwa ukeni (yasiyonuka) yana madhara gan?