Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
Ninamiliki wivu mwingi kuliko fedha.Siwezi kukubaliana na ubolizozo huo.Nunca!Kuna hii kitu inaitwa open relationship, yaani unakua na mtu wako ( tuseme mke au girlfriend) lakini anaruhusiwa kudinywa na mtu mwingine, vivyo hivyo wewe mwanaume unaweza kudinya demu mwingine!
Is it not good idea. Tuseme mkeo hapati mimba kwanini tuonane wivu? At the end of the day hakuna kitu kitabadilika ukifanya sex na mtu mwingine. Cha msingi ueleweke mahusiano makuu ni yapi.
What is your view. Mi naona ni idea nzuri.
Hatari sanaUmesahau kwamba ni lazima upate ruhusa ya mwenzi wako kabla ya kutoka.
Open relationships zinaongoza kwa kuachana.
Ushoga kivipi sasakuna mambo tunafanya faragha ...kwamba mke wako unajua katoka kunyonya ya mwingine....huo ni ushoga