Mahusiano yako na watu wengine. . . . YANARIDHISHA?


Yaaah! Huyo ndio mimi sasa, yaani umenipatia ile mbaya. Yani Mie huwa natendaga wema tu alafu nasepa zangu wala siangaliagi nyuma aisee! mia
 
Unadhani hao watu wakiulizwa kuhusu wewe wengi wao watajibu kwamba wewe ni mtu mzuri/mstaarabu au kinyume cha hapo?

First off, I don't give a shit what others think of me.

Kama leo hii mtu angekurecord kwa siri wakaonyeshwa watu wasiokufahamu, unadhani wangesema nini kuhusu wewe?

That will depend on when, where, how, and what I am doing considering the fact that I am a triple personality kind of person - the good, the bad, and the ugly.


Nothing is more touching than the kindness of total strangers. Personally I feel gratified when I help people and it doesn't matter who they are. So long as I am doing it out of good faith is all that matters to me.

Good, genuine, and golden hearted kind of people who help out without wanting anything in return are out there. I subscribe to the philosophy of virtue being it's own reward. When I do a good deed I don't look back.

Lastly, I am Mr. Independent. I depend on myself so much. I don't ask for help even when I should. I have this inordinate ability to suck it up and tough it out all by myself. Call me weird or anything but that's just who I am.

So being the way I am, it is kind of rare for me to be disappointed or feel let down by people in that aspect.
 
We nakuona kama mshari flani hivi! Hahahah lakini hii ni through the keyboard bana, sijajua uhalisia wako!!!

dah!..umejuaje? nikweli kabisa mkuu. mimi unanikanyaga bahati mbaya nakulipua makusudi. Mia
 
....kwa maisha ya sasa hii inategemea una 'ndururu' kiasi gani mfukoni...jishindie tuzo kama hii;

...uone utavyogombewa kama mpira wa kona.

...hata aliyesoma nawe shule ya vidudu atakukumbuka...
 
....kwa maisha ya sasa hii inategemea una 'ndururu' kiasi gani mfukoni...jishindie tuzo kama hii;

...uone utavyogombewa kama mpira wa kona.

...hata aliyesoma nawe shule ya vidudu atakukumbuka...


Pesa inabadili watu wanavyokuona.

Ukiwa nazo hizo utaonekana handsome hata kama sio.
 
hahahah dah.....we ni noma aisee!! Halafu unaonekana hata siri huwezi kutunza wewe, lazima utalopoka tu!!

hahahaaaa....!!. Mkuu wewe ni noumer. kuhusu siri inategemeana ni siri gani. siri ambazo najua hazimdhuru mtu au kumletea matatizo nasema tu. kwa mfano mtu anakwambia oya nshatembea na huyu demu lakini usimwambie mtu halafu nikaona mshikaji wangu anamfukuzia akiniuliza lazima nimwambie huyu demu katembea na fulani. Mia
 
....kwa maisha ya sasa hii inategemea una 'ndururu' kiasi gani mfukoni...;

...uone utavyogombewa kama mpira wa kona.

...hata aliyesoma nawe shule ya vidudu atakukumbuka...

thubutu kukutwa umetaja 100 ulipiwe kifurushi chako. Mia
 

hahahah alafu ni type ya watu ambao mtu akikuudhi unakisanua haswa wala humuachiii, unakomaa nae mpaka kieleweke/mpaka pale roho yako itakaporidhika.....lol!!!
 
Kakondoo wewe na Mia mbona mnasogeleana sana? Embu rudi pembeni kidogo. . . au nikae katikati?
 
We unadhani vizuri? Mia ni mwanaume sio mvulana.Lolz

hahahah dah.....umenichekesha kweli!! Asante kwa kunipatia kicheko cha alfajiri mama mchungaji, tutakutana kanisani b'dae mia wala asikupe hofu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…