Mahusiano yako na watu wengine. . . . YANARIDHISHA?

ubinadamu kazi bora umfadhili mbuzi utamnywa mchuzi binadamu wanamaudhi-source Belle9
 
ingekua fadhila unayomtendea mtu unalipwa the same, wengine tungekua ma millionaire. lakini tenda wema uende zako usingoje shukrani. muumba atakulipa kwa njia nyingine. ukitegemea yule uliyemfadhili atakulipa, utaula wa chuya. mchana mwema wana JF
 
Daaah
Let me express myself . . . . .
Naweza kusema nimepitia tabia nyingi ambazo binadamu walishawahi kufanya. Honestly nimewahi kuiba (ila sijawahi kupora), nimewahi kudanganya, nimewahi kuwasema wenzangu vibaya, nimewahi hata (kimawazo) kuombea fulan na fulan wapatwe na mabaya au wafe, japo sijawahi kuwaza kuua mtu.
But I always believe
The greatest glory in living lies not in never falling, but in rising every time we fall.
So kwa kupitia hayo matatizo nimeweza kujifunza mengi. Sijaumbwa niwe mkamilifu kila siku bali nimeumbwa nijirekebishe kila ninapokosea.
So, naweza kusemwa kwa mabaya niliyofanya, na pia nina mazuri mengi nimeyafanya na naendelea kuyafanya mpaka sasa.
Atakaenikumbusha mabaya yangu, nitamsikiliza.
Atakaenikumbusha kwa mazuri yangu nitamshukuru

bY
CPU
 
Hivi wale wanaosema hawajali watu wengine wanawaonaje/wanawachukuliaje ni kwamba washagundua wao si watu wazuri machoni pa wengi au inakuwaje?
 
Hivi wale wanaosema hawajali watu wengine wanawaonaje/wanawachukuliaje ni kwamba washagundua wao si watu wazuri machoni pa wengi au inakuwaje?

wadhungu pori wa daisalam hao
 

i have to admit,i have liked your thread..about me,just quiet i guess!
 
i have to admit,i have liked your thread..about me,am just quiet and down to earth,.
 
 
Wonders will never cease, talking of being two faced!
Ar u as kind to ur siblings as much as u ar to ur lady, Ngabu boy?

I don't have any siblings. I am the only golden child. But I have no doubt that if I had any siblings they would have been lucky to have me as their brother. I am kind, generous, and loyal to a fault.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…