Mahusiano yako ya muda mrefu zaidi yalidumu muda gani?

Mahusiano yako ya muda mrefu zaidi yalidumu muda gani?

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Mapenzi yangu ya muda mrefu zaidi yalidumu mwaka 1 tu.
 
ni mwendo wa bakora apo nairobii
FB_IMG_1718919748619.jpg
 
Miaka miwli na miezi kadhaa. Tuliachana kwa sababu ya umbali. Long distance relationship ni shida.
 
miaka minne safi kabisa, baada ya hapo kila mtu akachukua zake 50
 
Back
Top Bottom