Mahusiano

Mahusiano

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
276
Reaction score
574
Uzuri wa Dar es Salaam sasa hivi ukiachwa unauwezo wa kulia hata sokoni mchana kweupee, kikubwa usitoe sauti na watu wakajua ni "RED EYES" kumbe unakung'utwa na mapenzi! 😀🚮
 
Bado unakung'utwa na mapenzi mkuu mpaka kulimwaga chozi hadharani?

Pole sana!

IMG_20240127_224911_990.jpg
 
Back
Top Bottom