bwana we laaziz, unaenda ofcn kwa mr wote wanakuangalia kipembeni, hee mie huwaga salamu tu zinawatosha mazoea ctaki kabisa.
...goes both ways mamie, ...ndio maana wengine hizi "family days", sijui Get together za maofisini hatuzifagilii...
Unashangaa bosi wa mkeo anakuchangamkia as if mkeo ni mfanyakazi bora kiviiiile...! π
Mhhh kweli, yaani nina ndugu yangu yupo situation kama hii kabisa, hilo jumba alilojengewa na gari ya nguvu, anakatoto kamoja tu, mzee ni over 50 yrs, sasa huyu dada ndo anashtuka maana tofauti ni kwamba huyu mzee ndo hataki kujionyesha kwa ndugu yeyote wa msichana na msichana hataki alale kwake. Issue ni kuwa aliposema kama hataki kujitambulisha na kumuoa!? kama mke wa pili binti ataondoka kutafuta mume mwingine. Mzee kamwambia aache mtoto hapo hapo (mchagga)...... amenywea yaani hizi ndoa bila hofu ya Mungu watu wanadanganyana mpaka basi tu.... Mungu tupe uvumilivu
umenikumbusha mbali Mbu, mie nilishawahi kukutanishwa na mdada nakwambia nikaambiwa 'tunafanya naye ofcn' mdada kanichangamkia kupita maelezo yaani kikawa hadi kinanielezea habari ya mwanagu eti oh wala usijali akikua ataacha utundu, unajua watoto wa kiume wanakuwaga watundu sijui nini! Ahh nikamtolea uvivu
Nikamwuliza na hilo pia kakusimulia? Inaelekea unanifahamu vilivyo- loh kila kitu kikasizi maana ushoga ulikatikia pale pale- kumbe kilikuwa kinaniibia (opss sorry kilikuwa kinagaiwa nacho)
Du watu mna wivu jamani sipati picha π
Dawa ni kutokuoa au kuolewa
FL1 mke au mume ni kitu kingine bwana. Kama ingewezekana unamweka kwenye wallet na kuwa naye 24/7. Vinginevyo ukifikiria sana utaomba mshinde ndani mmejifungia.
Hukusikia kasheshe ya baba kuwa mkali mama anapocheza zaidi na watoto (tena wa kwake) na kupewa time kiduchu? Inauma sana na hakuna mfano. Sijui kwa nini Mungu aliiweka iwe hivyo. Vinginevyo maisha yangekuwa kama kule porini.
yaani najipa maswali meeeengi sina jibu
hivi ndoa ni mateso?
dada yangu alishawahi kuniambia such a thing, hivi kumbe ni kweli??nilidhani mumewe ana lake jambo....
kazi ipo lol!!
You will always pay a price for either choice. Niliwahi kuwambia huko nyuma kuwa, jibu la kipi bora kati ya kuoa au kuishi hadi kufa single lilikuwa hili hapa:
"KWA VYOVYOTE VILE MTAJUTA"ππ
DC.
so she is doing her a big favour to sleep with her husband only during the day... π if she has respect for other woman she shouldnt sleep with him.Dada wee laiti ungeingia kwenye hiyo link ndo ungejua kinachotembea kwenye vichwa vya wengine.
Yeye mwenyewe anadai anamheshimu sana bi mkubwa na akiwa na huyu mbaba anahakikisha kuwa halali kwake kwani ikifika saa mbili tu usiku anamfukuza akalale kwa mkewe.
Exactly, wengi huwa gheresha tu, akiingiza kichwa kama ngamia anataka mwili woote uingie, mwenzie atoke, sidhani kama kuna mtu anaependa ku share pendo.... Mungu pia hakutuumba hivyo.mbona huyu ndo kama huyo aliyemsema MJ1
Love is never divisible! You either exclusively have it or miss it all. No sharing ndugu yangu. Hata akiwa mwanao wa kumzaa, always priority inatakiwa kuwa kwa baba tu! Vinginevyo ni kukaribisha minundu usoni au kununiana kusiko na mwisho.
so either choise is just sawa tu maana majuto yapo!!! (hakuna chaguo bora)?
sacrifice........Kwa upande wangu naweza kusema kuwa tofauti ni kiwango cha majuto. Kuna mwingine anaweza kupata magunia kibao ya majuto kwenye ndoa wakati mwingine atasota kwa kuwa single. Kwangu mimi majuto ya kwenye ndoa ni kiduchu tu ila siyo kwamba hayapo. Ni kuamua kutokuwa mbinafsi na kukubali kuuza baadhi ya share zako, ..simple.
sacrifice........
thanks DC